Wakuu kwema hapa. Mdau atakaenisevu hata 10k ya ku survive hii wiki hadi ijumaa kwenye maswala ya mlo atakuwa amenihelp sana. Imebidi nipambane nikapata kazi ya kupanga mbao kwenye kiwanda kimoja na kuzoa saw dust malipo 25k per week .Pay day ni jumamosi kwa jmamosi ila sio mbaya kuliko...
Shukrani mkuu japo kuna uzi nilifungua humu niliweka baadhi ya taarifa kunihusu. Chuo nimemaliza pale mwenge catholic university na bachelor ya geography and environmental studies
dah hapo kwenye unyonge umenikumbusha childhood traumas. Sema sina unyonge ule wa kuonekana kuwa kama zoba. Sema tu ni stress zinanifanya nakuwa mpole. Maana wanaonizunguka siwezi kujichanganya nao ktokana na lifestyle lao .
Hili swala la kwenda majuu nishaliwaza sana kwa ajili ya ktafta maisha, sema bahati na pia nawaza nisije kuangukia kwenye wale wazee wa human trafficking.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.