Recent content by victor kilauo

  1. V

    Wapinzani msithubutu kufanya "political suicide" ya kususia chaguzi zijazo

    Ni wakati wa wananchi kujitambua na si vinginevyo
  2. V

    UKAWA mbona kimya kuhusu ufisadi na mafisadi?

    Naomba kujuzwa ubaya wa wapinzani kusema kuwa serikali ilikuwa imeoza. Walikosea? Au Mheshimiwa Magufuli anayofanya ni usanii? Kama kweli kuna hayo madudu yastahili kuupongeza sana wapinzani kwani wangekaa kimya hawa watu wasingebadilika Yastahili basi kuwaunga mkono tuzidi kuwapa nguvu ili...
  3. V

    Fundi Milango ya kichina/jeshini

    Inapatikana wapi hii milango wanajamvi?
  4. V

    CHADEMA kususia kuhudhuria mkitano mkuu na uzinduzi wa ACT-Tanzania

    Mwlm una haki ya kuhoji kwani inaonekana kama umenfuma mkeo kwenye usinzi au mkeo kakufuma na mkaachana ukisikia anafunga ndoa na akakuita nadhani wewe utawahi sana kwenye hiyo harusi na utakuwa kati ya wageni rasmi! Hongera!
  5. V

    TANESCO yaamriwa kuzima umeme

    Mkoa wa Mara hakuna umeme
  6. V

    Captain Komba anafikiri kwa kutumia nini?

    Hivi mnazungumzia komba mnyama au ni yupi? Niwekeni sawa tafadhali
  7. V

    Ivona Kamutu wa Star tv

    Subirini kukiwa na mabadiliko kwa wakuu wa Wilaya naye atakuwa mmojawapo! Mtaniambia
  8. V

    Kwanini wanaume viwembe/malaya (players) hupendwa na wanawake?

    Kwa zoefu wangu ninaamini kuwa kuna pepo la ngono na mwanamme anapokuwa nalo anakuwa hana aibu huwa na mvuto wa kipepo. Vile vile mwanamke huwa na mvuto wa hilo pepo! Ili kuondoana na hilo pepo, sali sana na ikibidi kufunga kwa wale ambao ni akristo.
  9. V

    CHADEMA Kuelekea Suluhu: Majedwali ya mapendekezo ya Usuluhishi.

    Watetezi ni wengi sana! Kama ameonekana ana maana sana kwanini CCM wasimchukue? kwanini watetezi wa ZZK kuomba abaki CDM ni wengi na ni wale walioupande mwingine... yaani ant CDM! Cha kushangaza zaidi jambo hili lilimuuma zaidi Nchemba kuliko m2 yeyote. Ww unatutangazia kuwa kuna mgogoro! Ni upi...
  10. V

    UCHAGUZI CHADEMA: Ratiba yatoka Rasmi

    Ninaomba unikumbushe. Hivi kikwete aligombea nafasi ya M/kiti na nani tena!! Nimesahau tafadhali.
  11. V

    Kwa nini Zitto anautaka sana uenyekiti CHADEMA?

    Tueleze basi Mbowe ameng'ag'aniaje wakati kipindi chake bado? Je alikutonya kuwa kipindi chake kikiisha atagombea tena? uwe na logic kidongo
  12. V

    Muasisi awashukia 'wabaya' wa CHADEMA

    Nimekubali mkuu. Na hii ni changamoto kubwa kwani kama serikali iliyopo madarakani imeshindwa kuwadhibiti watu hawa ambao ni wauaji, watu wa tindikali, sumu na mabomu na hakuna aliyekamatwa hadi sasa hivi na kuhukumiwa nashindwa kuelewa tuipe hiyo serikali jina gani. Naomba ushauri wako.:A...
  13. V

    Said Arfi - Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA ajiuzulu rasmi!

    Kama na yeye ni mamluki kama ww ni bora akajiondokea mapema. Na kwa ushauri ni vizuri nawe ukawasaliti hao tena ukajiunga na ZZK, Kitila na huyo mzee mkaanzisha cha kwenu kwani wote ni wasaliti wa demokrasia na mnatumiwa.
  14. V

    Aden rage asimamishwa na kamati ya utendaji ya simba

    Je hamkujua kuwa huyu bwana alishahukumiwa kwa kuiba hela wakati huo FAT? Iweje mumpe hiyo nafasi wakati ni mwizi aliyehukumiwa tayari?
Back
Top Bottom