PhD yake haikuwa na utata, alipewa na Dr. Akwilapo, School mate wake wakiwa Mkwawa (Single combi ya CM) ambaye alizawadiwa Ukatibu Mkuu wa Wizara ya Elimu ya Taifa
Ni ajabu sana, ndugai na timu yake walishaambiwa anademka bungeni hataki kusikia.
Hayo anayoongea kila siku bungeni kuhusu hao kina mama hayana tija kwa Taifa na KODI zetu.
Pale ofisi za RITA Arusha kuna sijui ni wasichana au wamama kazi yao kubwa ni kula rushwa na kujibu wateja wasioweza kujiongeza mbovu tu
Kama Kamanda wa TAKUKURU atapata ujumbe huu anaombwa kutupia jicho pale. Pameharibika sana kwa rushwa na kusumbua raia kwa kuambiwa njoo wiki ijayo bila...
Wanapiga vita matumizi ya mitandao na vyombo huru vya habari alafu huku wanatumia vyombo hivyo-hivyo kuomba kura. Hawaeleweki, sipangiwi nani wa kumchagua, tumenyanyaswa vya kutosha tunataka uhuru, haki na maendeleo ya watu .
Nimeipenda hii, kama tukijitambua tunaweza kujiletea maendeleo. Ni aibu sana kumchagua mtu kwa kura alafu anakuja kukufanya wewe uliyemchagua ni mjinga. Kukataa kuonekana sisi ni wajinga ni kuwakataa na kulida kura zetu kwa nguvu zote. Hii ndiyo changamoto tuliyonayo, kufanya kazi ya ziada...
If CCM looses election it will be possible to overtake kenyan, but with ccm in power Tz shall never be ahead of kenya . You know what, a lot of money goes to unnessesary expenditure. it is believed that Tz is where it is (poverty situation) because of ccm politics.
ndio maana trump aliita vinchi kama vya kwetu ambavyo mwajiriwa wetu anatutukana hadharani nasi kufurahi "shithole countries":cool::cool::cool::cool::cool:. Mitano kwanza ni muafaka kwa sasa kuliko mitano tena. Turudishe heshima ya nchi yetu na watu wake.
Hata ingekuwa Kenya, angetamani dunia ipasuke aingie ndani. Angebanwa mpaka aombe radhi, la sivyo angekosa kura za wanawake wote, weupe kwa weusi. Mambo ya hovyo-hovyo kiasi hiki yanaweza kutokea TZ tu. Ujinga au sijui upole wa kijinga umefanya watawala watudharau na kuamua kujisemea chochote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.