Recent content by Vicent Temu

  1. V

    JamiiForums Tanzania Tusipopata UKWELI huu Wengi tutaihama CHADEMA

    Punguza hasira mkuu ili uweze kuandika kitu kinachoeleweka!! Kitu kidogo huwa unajaa upepo sana aisee.
  2. V

    JamiiForums Tanzania Tusipopata UKWELI huu Wengi tutaihama CHADEMA

    Mkuu ungekua na akili usingejificha kwa kutumia id! CDM ni chama cha siasa kama vingine, kuwataka wadhihirishe ukweli ili wewe usiondoke imenitisha kidogo!!
  3. V

    JamiiForums Tanzania Muswada kurudishwa bungeni

    Kama hii hoja ni ya ukweli, basi JK anastahili pongezi. Na katika hili alikua na haki ya kusaini ule mkataba wa uwazi waliosaini huko NY. Katiba ni ya Watanzania, sio ya Chama chochote! Inatakiwa busara ya hali ya juu hasa tunapoamua mambo yenye kuhusu Watanzania. Heko JK, kwa hili unastaili...
  4. V

    JamiiForums Tanzania Picha:Mwigulu aagwa kwa shangwe San Francisco,kutua Chicago leo

    Wakati mwingine tuwe serious!! Yaani Mwigulu anaandaliwa kuwa raisi Tanzania kisha anaenda kufanyia mipango US na UK??!! Kuna uhusiano gani!! Watanzania tutumie akili zetu hata kwa 1% tu, itatusaidia sana! Naamini kama huu ndo mkakati wa kumtambulisha eti US na UK, ili apate exposure basi CCM...
  5. V

    JamiiForums Tanzania Tanzania, Burundi waachwa tena katika mazungumzo ya kuwa na Visa Moja!

    Kagame ni Nduli kiliko hata IDD AMIN aisee!!! Kaamua kuitupilia mbali EAC?? Jamaa kweli kwikwi!!! Tanzania tuamue tu kujitoa tuendelee na mambo yetu na tuelekeze nguvu zetu SADC.
  6. V

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Reginald Mengi juu ya Gesi kwa Profesa Muhongo

    Kwa mtazamo huu, ina maana Muhongo anaamini kuwa swala la kuwashirikisha wazawa kwenye ishu ya madini na gas ni kupoteza muda wake!! Fine, lakini hata kupata ushauri wa bunge kuna tatizo gani?? Manake wabunge wanaamini kwenye mikataba kuna tatizo na Muhongo analijua hilo. Kauli yake kwamba...
  7. V

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Reginald Mengi juu ya Gesi kwa Profesa Muhongo

    Mkuu uko vizuri kwa kujibu mashambulizi ya wachangiaji! Tuelezane ukweli, simwamini Muhongo wala Mengi. Ila kuna swali la kujiuliza hapa, "Ni kwanini Muhongo alizuia ugawaji wa vitalu kwa madai kwamba mikataba haina maslahi kwa Watanzania, lakini Muhongo huyo huyo akarudia sheria zile zile...
  8. V

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Kinana, Je analipeleka wapi taifa letu?

    Hebu tudhibitishie kuwa ni majungu kaka/dada. Ingekuwa vizuri kwa kumpinga mleta maada kuwa alichoandika sio kweli na ukweli unao wewe na uuweke hapa. Umejibu kama Wabunge wako!!!!
  9. V

    JamiiForums Tanzania Vurugu za jana Bungeni: Chanzo ni Mhe. Job Ndugai!- Ni Dikteta Hatari Kuliko Spika Anne Makinda!.

    HAMY-D, naona ungesema kwamba bunge linaendesha kwa matakwa ya spika au naibu. Bungeni wabunge wanatetea maslahi ya Nchi na sio maslahi ya wachache. Nafikiri Ndugai amekosa "ethics" na nashawishika kuamini kwamba hazijui hata kanuni unazosema ndizo zinazoliongoza bunge!! Ni mtazamo tu...
  10. V

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla: Mbowe mjinga, mpuuzi, ametia aibu na kushikishwa adabu...!

    Wadau naomba kujuzwa, Kigwangala ana Phd ya fani gani?? Au ni mtaalam wa mambo gani??. Naomba mwenye CV yake atuwekee hapa jamvini.
  11. V

    JamiiForums Tanzania Kigwangallah: Nimepewa majina wabunge dawa za kulevya, Wamo CCM na CHADEMA

    Hongera dr! Na wewe umeingia kwenye list ya wenye list mbali za wauza sembe, mafisadi, wezi wa EPA. n.k. Kwa ushauri, endeleeni kukaa na hizo list. It has nothing to do with us!!!
  12. V

    JamiiForums Tanzania Uganda yatangaza kufanyia marekebisho njia ya umeme hadi Kagera!

    Mleta mada atakua kakosea, sio miezi 40. Nina wasiwasi coz nahisi ilitangazwa wiki 40 ambazo kama sijakosea ni miezi 10 net!
  13. V

    JamiiForums Tanzania Sipo hapa kuitetea CHADEMA - Baregu

    Prof yupo sahihi. Na sio vizuri kuitetea CDM. Ameteuliwa kuandaa katiba ya JMT na sio ya CDM. Wajumbe wengine nao ingekua vizuri kama wangejitambua kama prof!!
  14. V

    JamiiForums Tanzania mzaha mzaha hutumbua usaha...

    Ha ha ha ha....! Chonde chonde mkuu, kama ur the right one, please msikilize. Ndo tumeambiwa tukae nao kwa akili!! Ila we ni mkaliiii...!!
  15. V

    JamiiForums Tanzania Usaili wa kujiunga na jeshi la polisi 2013

    Sawa Afande!!
Back
Top Bottom