Recent content by vibee

  1. vibee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Makabila kumi yenye wanawake wazuri sana Tanzania

    W Nadhani wewe unamatatizo ya macho
  2. vibee

    JamiiForums Tanzania Mungu wa waafrika yukoje? China, Urusi, Marekani n.k, hawasali kiviiile ila wako poa tu kuliko sisi

    Ukiamua kumfuata mungu usuchanganye na ya shetani
  3. vibee

    JamiiForums Tanzania Leo ngoja niongee "kwa kutumia akili nyingi" kuhusu hizi soda

    sijui tumuamini nani sasa
  4. vibee

    JamiiForums Tanzania Kipanya anamaanisha watu gani hapa wanaotumia nguvu bila akili?

    kipanya nakupa respect
  5. vibee

    JamiiForums Tanzania JANGWANI, DAR: Vurugu zazuka baada ya wananchi kurusha mawe wakipinga kubomolewa nyumba zao

    Nimepata taarifa Jangwani Kuna vurugu tafadhalini mliopo jirani na hapo mtujuze kinachoendelea. Wanataka kubomoa nyumba za bondeni, vijana wanarusha mawe vibaya. Kama unaelekea au kutoka mjini usipite huku kabisa muda huu. Wakazi wa Jangwani jijini Dar es Salaam, leo wamepambana na polisi na...
  6. vibee

    JamiiForums Tanzania Sifa za wilaya ya Kondoa na wakazi wa Kondoa

  7. vibee

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini wafanya jaribio ya bomu la Nyuklia

    Ana kifaru kinaitwa pu- Kong ho kinauwezo sawa na cha Russia Amatha tank!kinauwezo wa kupiga km 500.India imevinunua vifaru 700.
  8. vibee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Nilibakwa na majambazi nimepata ujauzito

    Pm nikuelekeze pakwenda
  9. vibee

    JamiiForums Tanzania Ugoro una madhara/faida gani, mbona Masaai wanaupenda?

    Sio wamasai tu hata waarabu,wahindi wanatumia.kiufupi mi nilishachunguza sana nikaona hawa watumiaji wanakuwa sawa na wavutaji sigara.
  10. vibee

    JamiiForums Tanzania Godown linahitajika

    Nanunua kabisa
  11. vibee

    JamiiForums Tanzania Godown linahitajika

    Nimelipia mkuu hadi na change imebaki
  12. vibee

    JamiiForums Tanzania Godown linahitajika

    Ninahitaji godown liwe maeneo kati ya Mikocheni, Kawe, Mwenge pia Mbagala. Liwe na eneo la 1 heka hadi eka moja na nusu. Budget 800000$. Mmwenye kujua aje PM asanteni.
  13. vibee

    JamiiForums Tanzania NATO formally invites Montenegro to join alliance, rankling Russia

    Hata wakijifanya kelele nyingi kumzunguka puttin bado Russia iko juu shida ya Russia ni technology ya electronic ndio iko nyuma ila kwa vifaa mrusia yupo juu RED ARMY .kuna balistc missile inaitwa R s SATAN Inauwezo wa kuitokomeza dunia kwa 30sec.
  14. vibee

    JamiiForums Tanzania Bomoa bomoa yavaa fukwe za Mbezi Beach; Kuacha kilio kwa matajiri wavunja sheria!

    Jamani watafika lini huku mbezi beach jirani na Mbezi Garden hotel maana kuna jamaa kajenga kwenye open space
  15. vibee

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu Kanda ya Dar: Marufuku Mikusanyiko ndani ya mita 200 baada ya kupiga kura

    Habari ya mchana wanajamvi Ningependa kujuzwa habari ya mahakama ya mita 200 imetolewa hukumu gani mwenye taarifa atujuze tafadhali.
Back
Top Bottom