Recent content by vibanzi sharubati

  1. V

    JamiiForums Tanzania CCM wapinga matokeo ya Serikali za mitaa Sumbawanga

    katibu ana hoja,,Ana haki ya kupinga,,,,,na awe makini sana kwani hao CHAGADEMA WANAFAHAMIKA KWA MBINU MBOVU,,,,GO GO KATIBU GO,,,
  2. V

    JamiiForums Tanzania Uandikishaji wapiga kura waanza mkoani Njombe

    hakuna zoezi lisilo na changamoto,Big up kwa vyombo vya Habari kwa kuliona hilo na kulimulika,ni imani yetu kwamba serikali yetu na wadau wanaohusika watalifanyia kazi mara moja ..
  3. V

    JamiiForums Tanzania CCM tupo kweli? Tutupie macho kwingine

    ccm tupo imara na muda ukifika tutashinda tu,,,TUNAJIVUNIA MTAJI MKUBWA WA SAPOTI YA WANANCHI KUTOKA KILA PEMBE YA NCHI,,
  4. V

    JamiiForums Tanzania Nape: Sijayapata matokeo ya Serikali za Mitaa ya Sumbawanga

    SASA MLITAKA ASEME UONGO,!!?,NAPE HAJAPATA BADO MATOKEO,ana,mambo mengi ya kufanta,akiyapata atatueleza kinachoendelea NA MIKAKATI YA CCM KURUDISHA HESHIMA YAKE,UONGO HAUFAI,NAPE NI MTU MAKINI .
  5. V

    JamiiForums Tanzania Nape: Sijayapata matokeo ya Serikali za Mitaa ya Sumbawanga

    Sasa mlitaka aseme uongo,!!?,nape hajapata bado matokeo,,uongo haufai,nape ni mtu makini .
  6. V

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kuhusiana na Waziri Mkuu mh. Pinda

    ccm iko makini ,wanatambua taratibu za kuiletea Tanzania raisi boraa kabisa,,,TUACHE KUSIKILIZA MANENO YA VIJIWENI.
  7. V

    JamiiForums Tanzania Hali si shwari, CCM haijawahi kuingia katika uchaguzi mkuu wowote kwenye hali hii!

    KINADHARIA UPINZANI WAMESHINDA,LAKINI KIVITENDO CCM BADO NI MSHINDI,, WAPINZANI MNAPASWA KUTAMBUA KWAMBA NYINYI BADO HAMTOSHI KUIONGOZA HII NCHI,, LAzima mjue kutofautisha Kati ya Ikulu na ufipa,,,
  8. V

    JamiiForums Tanzania Polisi waanza kuchunguza vikundi vya ulinzi vya vyama vya siasa

    Vichunguzwe hivyo,hasa hivi vya cdm venywe mlengo wa kigaidi,,big up kova,,
  9. V

    JamiiForums Tanzania Ikitokea Uchaguzi Ukashindikana Kufanyika...

    TUME YA UCHAGUZI WAKO MAKINI SANA,WANALIJUA HILO,,WATAREKEBISHA MAMBO YOTE,,WANANCHI TUPUNGUZE MUNKALI,,PIA ccm wako makini sana,,hilo haliwezi kutokea kabisa,,,,,uchaguzi utafanyika ,wa huru na wa haki na kama kawaida ccm ni ushindi wa kishindo.
  10. V

    JamiiForums Tanzania Ikitokea Uchaguzi Ukashindikana Kufanyika...

    ccm wako makini sana,,hilo haliwezi kutokea kabisa,,,,,uchaguzi utafanyika ,wa huru na wa haki na kama kawaida ccm ni ushindi wa kishindo.
  11. V

    JamiiForums Tanzania Msaada: Muda wa kujiunga JKT

    tuwe na subira,inasemekana mwezi huu wa 2,tar 28 wataanza kupeleka fom mikoani na wilayani ,fom ambazo tutatakiwa kuzijaza,,,
  12. V

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujiunga na jeshi kwa maana ya JKT

    ndugu subiri mwezi huu wa pili makao makuu ya jkt walisema utaratibu utaanza ,,,be patients kuna form zitakua zinapatikana huko wilayani,,,
  13. V

    JamiiForums Tanzania kuhusu JKT,

    kuchukua form,kuna form zitatolewa wilayani kwa wanaohitaj wataenda kuzifata,,,pitia website ya jkt uone tangazo linavyosema,
  14. V

    JamiiForums Tanzania kuhusu JKT,

    yaas,mwezi wa 6 ni kuingia rasm vikosini,lakin mchakato unaanza rasm mwezi wa 2 asee,,
  15. V

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa, January 30

    Lema amechanganyikuwa huyu,sio bure
Back
Top Bottom