Nna mdogo wangu wa kiume ana 22 years.
Alikua anamhudumia demu wake.
Ilibid niingilie kati maana mtu umepanga, huna akiba yoyote na hujaweza kusimama mwenyewe unaanzaje kuoa .
Unashangaza ujue.
Neno limesema wapi alieoa haendi mbinguni.
Na kuhusu kuwaingilia watoto hio ni tabia ya mtu tu.
Mbona mtaani kuna option nyingi za wanawake lakini bado wanawabaka watoto.
Kuna wengine wanaweza jizuia kwa ajili ya kristo kama huwezi hata biblia imeandika oa ili mwili usiwake...
Una uhakika na unachosema. Ila sio shida maana ni tabia ya wabongo kuongea bila kuwa na uthibitisho.
Mathayo 19: 12
"Maana kuna sababu kadhaa za kutoweza kuoa: Wengine ni kwa sababu wamezaliwa hivyo, wengine kwa sababu wamefanywa hivyo na watu, na wengine wameamua kutooa kwa ajili ya ufalme wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.