Recent content by verianus

  1. verianus

    TAMISEMI hili suala la vifaa vya ujenzi wa madarasa kununuliwa na Halmashauri wakati pesa zimeingizwa kwenye account za shule tupieni jicho

    Ukweli tatizo kubwa la kukwama mikakati yote ni Almashauri zetu wapo kiupigaji kuanzia kupata hata hao local fundi wanawalaximisha wakuu wa shule na kamati zao wafanye wanalota wao. Alimashauri hazina uchungu wowote wapigaji tu
  2. verianus

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ebu tupeni maelekezo mteja anataka kufungua kiwanda kidogo cha matofari anahitaji three phase na nguzo kama 3 nn kifanyike ili apate huduma hii mapema maana nimzunguko husiokuwa na afya Hii ipo kimala temboni Nadhani ntapata majibu kupitia hapa
  3. verianus

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kwann nmb msiwezeshe local fundi wanaojenga mashule na mahosipital kwa force acount Maana malipo mnafanya conectin na almashauri malipo yanapitia kwenu mmakata pesa zenu hii imekaaje
  4. verianus

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Asanteni kazi imefanyika tayari Sent using Jamii Forums mobile app
  5. verianus

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mm nadhani mgenipa namba ya meneja kituo cha mbezi ya kimala haiwezekani miezi mitatu kila cku wanasema wanakuja niko giza na mita walitoa wao kuna uzembe mpaka inakela tanesco mnakwamishwa na watu wachache sana TB 4394 ya mwezi wa tatu naombeni namba ya meneja hapo tafadhari Sent using Jamii...
  6. verianus

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ntashukru Sent using Jamii Forums mobile app
  7. verianus

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mm nimteja nimechoka na ahadi za tanesco mbezi ya kimala tangu mwezi wa tatu mpaka leo nikuambiwa mafundi wanakuja ila sasa nimechoka wafuate mita yao waliacha kwa mjumbe wa serikali za mtaa ntafunga solar tu TB 4394 ya mwezi watatu kimala bonyokwa vinane Nimefuatiria tanesco kimala nimechoka...
  8. verianus

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mbezi ya kimara Natatizo liko kimara vinane jirani na kwa Kaseja Sent using Jamii Forums mobile app
  9. verianus

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mm nimteja nimeleta malalamiko tanesco mbezi baada ya gari kugonga nguzo tuliwajulisha wakaja watu wa emergency wakakata umeme na mita wakaiweka kwa mjumbe wa serikali za mtaa Tangu mwezi wa 3 mpaka leo hawajaturudishia umeme na tulipewa TB namba 4394 tumezunguka tanesco mpaka tumechoka na umeme...
  10. verianus

    TANESCO Mwanza, kuna mgao rasmi unaendelea?

    Kwanza mvua zinazoendelea mnaziona Pili miundombinu ya tanesco nichakavu kipindi hiki nguzo zinaanguka line zinakatika nadhani ni kuwapa mda wakafuatiria meneja nae anaishi mwanza na watumishi wote wa tanesco wanaishi mwanza cdhani kama watajiweka nawao gizani huyu meneja nimpiga kazi na anajiwa...
  11. verianus

    Ujue mzimu wa Kempanju wa ukoo wa Abashambo wa Kiziba, Misenyi

    Aisee historia nzuri sana ntaifuatiria ila nilihitaji kujua chimbuko la Ikimba na mengine mengi Hizi ndyo stori wajukuu wanahitaji kuzipata
  12. verianus

    Kuna Uwezekano CHADEMA Inaelekea Kwishney? Zitto amebadili Online Trend...

    Hata mrema alitikisa vyombo vya habari sana jf haikuwa na wengi kwahyo tusubili mpaka julai tuone je zzk ataendelea kuongoza humu ndani?
  13. verianus

    Mjue Shabani Gurumo, rafiki na kipenzi wa mkuu wa kaya

    Chuki binafsi mleta news Kubuni miradi cyo tatizo tengeneza proposal yako upeleke penye kazi uone ulivyo wa hovyo. Gurumo piga kazi vijana tupate ajira
  14. verianus

    Nitagombea ubunge Jimbo la Segerea – Dar es Salaam

    Mungu akutangurie kijana
Back
Top Bottom