Habari wadau,
Kuna Pick up single cabin inauzwa. Ipo kwenye hali nzuri. Inauzwa na owner. ni white, imetembea apprx Km 100,000. ipo Dar, ni nzuri hata kwa biashara. AC yake inafanya kazi vizuri. Kwa mtu aliyeserious anayeitaji ni PM kwaajili ya kuona na bei ni maelewano.