Recent content by VENTURECACHER

  1. V

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Msaada wa hapa mbona kma sipati ushirikianoo kwa hili?? Nauliza hawa majaa wa fic ni wana usalama na wako kihalali??
  2. V

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jukwaa hili nimelijua hivi karibuni, masaada wa anayejuaa zaidi kuhusu jukwaa hili la uwekezajiii kwa kubet na kupata faida mara mbili zaidii. Naomba msaada wa uhalali wa kuwekeza kwa jukwa hili la Fic.
  3. V

    Rais Samia apandisha kiwango cha Posho ya Kujikimu ya Safari za Ndani ya Nchi na Malipo ya Kazi Maalum kwa Watumishi wa Umma

    Je, anaye juaa ukweliii wa kuongezewa masurufu na extra duty viwango hvi atuhakikishiee.
  4. V

    Natafuta garage ya kutengeneza body arusha!!

    Ahsantee mkuu nimewaonaa wako vizuriii sante snaa
  5. V

    Natafuta garage ya kutengeneza body arusha!!

    Garge nzuriii ya ku upgrade garii kwa upande wa body arushaa kwa anayefahamuu tafadhaliiii anisaidiee kuniambiaa iko sehemu gani..!!.
  6. V

    Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

    Nahitaji kufunguaa hii biashara. Kwa mtu aliyefanya au aliye na uzoefu na hii biashara jinsi ya uendeshaji wake na faida yakee tafadhaliii naomba ushaurii wa hili. Nawasilisha. [emoji871]
  7. V

    Naomba kueleweshwa kuhusu mpapai dume

    Na hii kufungaa gunzii au betri...ni kwa muda gani au palee tu unapoona mauaa ya kuonyeshaa mpapai huu utakuwaa dumee?? Tafadhaliii mkuu.
  8. V

    Naomba kueleweshwa kuhusu mpapai dume

    Ninaombaa kufahamuu kuhusu mipapai isiyotoaa matundaa, ni hali gan inapelekeaa kuwa hvyoo?? Je kufungiaaa gunzii kwa mti kuna saidiaa kutokana na hali hiyoo? Tafadhaliii mwenye kujua jambo hili.
  9. V

    Sehemu nzurii ya kutoka out na mwenzi msaada

    Mkoa wa dar es salaam. Mlionijibu ovyoo mtakujaa na matatzo yenu tutashindwa kuwapa ushauriii!!! Muoshaa huoshwaa piaa !!!!! [emoji26][emoji26][emoji26] Sent using Jamii Forums mobile app
  10. V

    Sehemu nzurii ya kutoka out na mwenzi msaada

    Msaada sehemu nzuri ya kuwezaa kutoka out kupumzika mazingira yawe kma garden au hotel ya bei ya kawaidaa msaada tafadhali. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. V

    Nitampata wapi Daktari na hospitali nzuri ya macho mzuri?

    nisaidie nahaitaji kupimaa macho yananiumaa snaa na kuwa mekundu na ukakasi kma mchanga pia kichwa huuma kwa mbali, naombaa kufahamishwa hosp nzur yenye specialist wa macho ili aweze nisaidia.tafadhali.
  12. V

    Naomba ushauri kwa aliyefanya business ya Saloon ya kiume kama inalipa.

    Ni kweli, bt changamoto zake ni zipi? Piaa unawezaa kuanza na mtaji kiasi gani?
  13. V

    Naomba ushauri kwa aliyefanya business ya Saloon ya kiume kama inalipa.

    Nahitaji, kutafuta mtaji wa kufunguaa saloon ya kiume ila sijajua gharama za saloon yenye standard. Faida zake, makusanyo yake nayabana vipi kwasababu nataka kumewekaa mtu,pia ningependa kujua changamoto za biashara hiyo Ninaomba ushaurii wakuu tafadhalii!
Back
Top Bottom