Recent content by venance H

  1. venance H

    Top 10 ya wagombea ubunge wa CCM wenye nafasi kubwa ya kushinda

    matayo na wasira hawezi kurudi, atakaye rudi ni charles kitwanga misungwi
  2. venance H

    CHADEMA yaumbuka Geita mjini

    Hilo gari aliilopewa mbowe alipewa na serikali ya ccm, ambapo mh mbowe aliishauri ccm kuwa viongozi wakiwemo mawaziri wasipewe magari ya gharama serikali ya ccm ikalazimisha, leo mtu mzima mwenye akili timamu anamulaumu mbowe badala ya chama chake, pia kule karatu kuna mkurugenzi wakuu wa...
  3. venance H

    Picha: ACT-Wazalendo Waitikisa Songea

    By Saed Kubenea: KINACHOJIITA chama kipya cha siasa nchini – ACT Tanzania na ambacho kilizinduliwa jijini Dar es Salaam, Jumapili iliyopita, kimepoteza upya wake.Kimekumbatia ukale. ------- Viongozi wake ni wale walioshindwa kufanya kazi za kisiasa ndani ya vyamavingine vya upinzani, hususani...
  4. venance H

    Prof. Lipumba na wageni wengine Wasusia Uzinduzi wa ACT Tanzania

    Naomba kufahamu tofauti ya kiongozi mkuu Wa chama na mwenyekiti Wa chama, msemaji Mkuu Wa chama mini majukumu yao?
  5. venance H

    Master degree gani naweza soma kwa sasa yenye soko nchini!

    Ushauri wangu. Kama ulisoma pure mathematics nakushauri ukasome masters ya statistics IPO Nairobi university sio lazima usome ndani ya nchi. Gharama sio kubwa sana
  6. venance H

    Kwa aliyesom au kufanya kazi embaruway sekondari tu

    Wakuu kheri ya mwaka mpya 2015, baada ya kukaa kimya mda mrefu sasa nimerejea kwa kasi kasi ya ajabu, nitakuwa tofauti sana na mwaka uliopita. nitasoma maada zote za wadau na nitauliza maswali mengi hii yote ni kutaka kujua mengi, maswali yangu nimesikia kuna shule moja inaitwa embaruway ipo...
  7. venance H

    Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

    Ajira za ualimu zitatoka mwezi wa 4, walengwa zaidi ni walimu wa masomo ya sayansi na hisababti, walimu wa masomo ya sanaa wataajiliwa wachache sana, lakina kama wewe ni miongoni mwa walimu wanaosubiri ajira na umesoma physics/ chemistry au mojawapo kati ya hayo tuwasiliane kwenye private sms...
  8. venance H

    Economics Books

    naomba pia nitumie na mimi venanceshija@gmail.com
  9. venance H

    naibu waziri kasim majaliwa amepotosha ukweli

    mapema wiki hii nilinsikia naibu waziri wa tamisemi anayeshughulikia elimu ndugu majaliwa akiuhadaa umma kuhusu mishahara ya walimu wapya, alisema walimu ambao hawajapata mishahara ni kea sababu wamechelewa kuripoti kwenye vituo vyao vya kazi. hii ni kweli wadau? kweli ccm ni sawa na ukoo wa...
  10. venance H

    natafuta kazi ya kufundisha.

    wakuu habari zenu. mimi ni mhitimu wa shahada ya Elimu mwaka 2013 nimespcialize hesabu. kama kuna shule binafsi wanahitaji Mwl mweye sifa kama zangu tuwasiliane inbox. nipo tiyari kuweka mkataba wa miaka mitano. nimechoshwa na ahadi za ajira mpya.
  11. venance H

    kuna umhimu gani wa wakuu wa shule kuwa na shahada?

    Sikubaliani na hilo waziri anatakiwa awe na Elimu ya kutosha kwa sababu ndiye msimamizi wa shughuri zote za wizara.
  12. venance H

    kuna umhimu gani wa wakuu wa shule kuwa na shahada?

    Baadhi ya Wajumbe wa kamati ya kuchunguza matokeo mabaya ya kidato cha nne iliyoundwa na mh pinda walibabaini kuwa , kiwango kidogo cha Elimu(diploma) kwa wakuu wa shule ni Moja ya sababu iliyochangia matokeo hayo. Lakini baadae mhe rais alimteua naibu waziri wa elimu mwenye Elimu ya diploma...
  13. venance H

    Kazi ya ualimu

    Can't you speak kiswahili?
  14. venance H

    Taarifa za Zitto na Dr. Kitila kwa Umma Juu ya Kuvuliwa Nafasi za Uongozi ndani ya CHADEMA

    Nakubaliana na tamko la zzk na Dr kitila kumbo
  15. venance H

    Naombeni ushauri.

    wadau poleni na majukumu ya kila siku, mi ni mwalimu nimejiendeleza kutoka vodafasta hadi shahada, masomo MATHEMATICS AND ECONOMICS nimemaliza chuo kikuu mwaka huu, nimerudi kituoni kwangu shule mojawapo mkoani shinyanga, Kwa kweli mazingira ya kufanyia kazi ni magumu hakuna nyumba ya kuishi ...
Back
Top Bottom