CHADEMA yaumbuka Geita mjini

CHADEMA yaumbuka Geita mjini

Hizi tuhuma nzito sana, bil tatu! Zilitolewa lini na kwa budget ipi? Cdm msipojibu hili basi tutajua zilishapigwa juu kwa juu sawa na za viwanja kule mwanza.

kama hujui kitu tulia mjomba , unaifahamu njama inayopangwa hapa ?
 

Attachments

  • attachment-8.jpeg
    attachment-8.jpeg
    7 KB · Views: 432
Acha ujinga..,we unayejua mwambie..,kazi ya kutunga uongo tu kama Mwenyekiti wenu.

sasa hayo mapovu ya nini mjomba , kama unataka kujua kinachoendelea si useme nikuwekee video clip bhana !
 
Kama nchi ni ya majuha basi tuna hitaji majuha wengine Hawa wa miaka hamsini na tatu yatosha
 
Nape kuwa muungwana...hivi Mbowe lini alichukua lile gari? What i know kwamba alilikataa.
 
Miaka ya kuishi kijanja janja imeisha, watanzania wanajua ukweli.
Hawana muda wa kudanganywa tena, wamechoka kudanganywa. Michezo ya kisiasa ya kutangaza kuacha kutumia garoi la KUB wakati watu wanakuona nalo mtaani, si tu yanaondoa hadhi na heshima bali yanawaonyesha watanzania kuwa hawawezi kukuamini tena kwa namna yeyote.

Kwani kwako wewe unaposikia KUB unaona picha gani?? Ukinijibu nitakupeleka tuition ili uelewe maana ya neno KUB + gari ya KUB
 
Tatizo la watanzania ni wanafiki sana wakati bunge la katiba mlilalamika ,wapinzani wanawasaidia kuwasemea matatizo yenu leo mmesahau yote mnashabikia ccm. Tena pamoja na wapinzani kuwasemea ndani ya bunge na nje ya bunge bado elimu haijawakomboa kweli nimeamini ccm imewaloga watanzania kweli shidaaaaa zote hizi miaka mitano hii ya mwisho wakulima wamezulumiwa pesa wafugaji wsmedhurumiwa wananch mmedhurumiwa tena leo mnamshangilia ccm kweli hii dhambi ya unafiki hii utatumaliza watanzania hivi nani katuroga. .
 
Kinana ni sawa na nzi mbona yy hajtaj ktk sakata la kuuza pembe za ndovu? Na hajawah kukanusha!

Mkuu mbona alikanusha, na wenye hatia ya yale magendo wanajulikana. Mahakama inajua. yeye hahusiki hata kidogo bali hizo ni siasa mbovu na kuchafuana. Chadema mnaitumia hiyo nyimbo kila siku lakini mnashindwa kuleta ushahidi.

Hata mie ninaweza kukusingizia kuwa chochote kilema bila kutoa ushahidi lakini haina maana ni kweli.
 
ukiwa mwana ccm utadhani huna kichwa,geita mjini ni ngome ya cdm,tunasubiri kukabidhiwa jimbo.
 
Hela wazipate WAP? Ameshindwa kusema tulishindwa kutoa ruzuku ya ..... massm siyapendi bora kamchepuko kao kidogo
 
Hilo gari aliilopewa mbowe alipewa na serikali ya ccm, ambapo mh mbowe aliishauri ccm kuwa viongozi wakiwemo mawaziri wasipewe magari ya gharama serikali ya ccm ikalazimisha, leo mtu mzima mwenye akili timamu anamulaumu mbowe badala ya chama chake,
pia kule karatu kuna mkurugenzi wakuu wa idara , mkuu wa wilaya , katibu tawala. N.K, sasa hao watu wameajiriwa chini ya serikali ya UKAWA? kinana anajivua nguo na chama chake.
 
Siasa za bongo uongo ndiyo ishu mbowe muongo hadi kwa mke wake tundulisu ndiyo kabisa kwahiyo msishangae chadema kudanganya wenzetu wanachuo cha uongo pale ufipa mkufunzi wa uongo ni babu slaa.
 
Hela wazipate WAP? Ameshindwa kusema tulishindwa kutoa ruzuku ya ..... massm siyapendi bora kamchepuko kao kidogo
Mwaka tafuteni pakujificha mzee mtakutana na kimbunga balaa kinana hana mchezo kwenye kazi.
 
mmh hata kinana ameanza blah blah duh. nimeamini ndani ya ccm wote wababaishahi. kama ccm inaongoza serikali na kukusanya kodi za watanzania mbona mpaka leo maisha ni magumu? je kama halmashauri ya karatu ina ufisadi na wao wanaongoza serikali wanasubiri nini kwenda kuwakamata wahusika huko karatu?au wao serikali yao nayo ni ya mafisadi? mbona mwenyekiti wake jk aliwaambia watanzania kama wanataka maendeleo wakajifunze karatu?alimaanisha nini? huu utamaduni wa chama tawala kulalamika badala ya kuchukua hatua ni usanii uliopitiliza na ulaghai mkubwa sana.
 
Siasa za bongo uongo ndiyo ishu mbowe muongo hadi kwa mke wake tundulisu ndiyo kabisa kwahiyo msishangae chadema kudanganya wenzetu wanachuo cha uongo pale ufipa mkufunzi wa uongo ni babu slaa.

mkuu katika vyama vya siasa hapa tanzania ccm inaongoza kwa uongom mambo yako wazi saana.
 
Mwaka tafuteni pakujificha mzee mtakutana na kimbunga balaa kinana hana mchezo kwenye kazi.

Tunazungumuza mambo nyeti ya taifa....bro

Acha ushabiki wa kushabikia watu walioshindwa na ndo maana sehemu za watu walioelimika mna wakati mgumu.

Mimi ni zao LA watu walioelimika hata siwezi kuwaogopa wapuuzi na waongo Kama wakina kinana.....ukiwa shabiki ww n mtumwa coz no room for reasoning things, everything is yes...zinduka mkuu....yaache massm ila Kama ww n mzee sina shida nawe najua watu wengine wakiaanza zeeka wanakuwa na matatizo ya akili
 
Back
Top Bottom