Recent content by Vegetarian

  1. Vegetarian

    GE2025 Yericko Nyerere: Aliyeua maridhiano ni Tundu Lissu, tutawaambia aliwauaje

    Safi sana, huyu ni kati ya taka ambayo ilikuwa imebaki kwenye chama. Bora aondoke, bila shaka chama kitajiunda upya na kuwa imara zaidi
  2. Vegetarian

    Video: Rapper Tupac alikuwa amepandwa na pepo wakati yupo studio ana rekodi wimbo "Hit Em Up"

    Hakuna lolote, huyu naye anatafuta kiki tu. Mashairi ya Pac yanafundishwa hadi Harvard University leo aseme ya pepo.
  3. Vegetarian

    Bado Jambo Moja tu ambalo Kanisa Katoliki linapaswa kufanya na ni Vema ikalifanya

    Wasira Msabato ana jipya gani la kuishauri kanisa Katoliki kubwa lao. TEC hawakurupuki,wakiamua lao,wameamua.
  4. Vegetarian

    Tunapoelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA, nimeshangazwa na kuvunjwa moyo na kauli ya Baadhi ya makada wa chama

    Naona kuna mfumo fulani wa Uchawa mle kwenye Kamati Kuu kiasi kuwa ni vigumu sana kwa TL kutoboa. Makada wengi vijana wanataka mabadiliko lakini wengi wa kamati kuu wananufaika na mfumo uliopo
  5. Vegetarian

    Tunapoelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA, nimeshangazwa na kuvunjwa moyo na kauli ya Baadhi ya makada wa chama

    Tunapoelekea kwenye Uchaguzi mkuu wa chama nimeshangazwa na kuvunjwa moyo na kauli ya Baadhi ya makada wa chama. Hususan Yeriko, Boniface, Kigaila miongoni mwa wengine. Tangu makamu mwenyekiti TL alivyotangaza nia ya kugombea nafasi ya uenyekiti hao makada wamejitokeza hadharani na kumshambulia...
  6. Vegetarian

    Sijawahi kuona Askari akiwa mjamzito

    Kumradhi wadau sioni picha hapa JF, tatizo ni nini? Natumia Samsung A24
  7. Vegetarian

    Mume anatafutwa

    Bi Mariam naomba uje PM tufahamiane kwa kirefu,vigezo ninavyo vyote..
  8. Vegetarian

    Usipofanya haya, utabaki unalalamika kila siku na kila mwaka

    Amen! Endelea kubarikiwa Mwana wa Mungu
  9. Vegetarian

    Mbowe na nadharia ya Usultani, atamani kuendelea kuitawala CHADEMA kwa miaka 30

    Huyu Mbowe ndiye aliyemleta Lowasa mwaka 2015 na kumsafisha hadharani kwa mbwembwe. Tangu kipindi hicho alipiteza credibility i ni vigumu sana kumshawishi mtu mwenye akili timamu kuamini kuwa mbowe yuko kwa maslahi ya chama. Ni dhahiri yuko kwa maslahi binafsi.
  10. Vegetarian

    Familia nzima yawa Watawa

    Umeandika kwa hasira sana kaka [emoji34][emoji35]
  11. Vegetarian

    Hii pesa ni Tsh. ngapi kwa Tanzania?

    Ni kama 598 Tshs.
  12. Vegetarian

    Natafuta mchumba wa kunioa

    Ulishampata mwenza?
  13. Vegetarian

    Epuka mtego wa shetani, kuwa makini sana

    Wakati mwingine anasingiziwa tu. Ukweli ni kuwa mama ni tofauti kabisa na mwendazake kwa nyanja zote. Hivyo mwenyekiti kusota mwendazake aachwe apumzike.
Back
Top Bottom