Nina simu aina ya Huawei G 730, nikitaka kuinstall program yoyote inaniandikia the Space is not enough, delete some programs. Nifanyeje wakati nina Memory card ya GB 8!
Wekeni namba zenu za simu, ili tuweze kuwatafuta kwa maelezo zaidi,Mimi bado natumia Exmaster( avatar,spycom) wanazingua, mara wapo leo,siku tatu hawapo hewani? Wanaboa,Mimi nataka niweze kuangalia mpira kupitia laptops
Tz ilipata uhuru mwaka 1961 ina miaka 54 tangu ipate uhuru ikiwa ni ya kwanza Afrika Mashariki.
2. Tz Kwa miaka 38 hii inchi imeongozwa na ccm peke yake ambayo ni zao TANU na ASP.
3. Tz ni nchi ambayo haijawahi kupata majanga makubwa kama matetemeko ya ardhi, magonjwa ya mlipuko kama ebola...
Naona hao akina Lowasa na Sumaye ndio waliopiga hela za Escrow,Mikataba 17 ya siri na Wachina, Ndiyo walioplan barabara za kwenda kwa kasi ndani ya barabara ndogo, Tuwachague CCM ambao wametufikisha hapa?
Rais mstaafu B.W.Mkapa kanikwaza sana kwa kauli aliyoitoa ya kutuita watanzania tunaotaka ukombozi kutokana na changamoto zinazotukabili kuwa ni wapumbavu na malofa.
Hivi kweli mimi kwa mfumo huu uliopo unaonifanya kuwa maskini kutokana na mazao yangu kunyimwa bei nakuwa mpumbavu na lofa?
Huku...
kuu na kupinga maamuzi hayo, unayo hoja na pia unao wajumbe wa kutosha ndani ya Halmashauri Kuu, uzoefu unaonyesha kuwa ni maajabu pekee ndio yanayoweza kukurudisha tena kwenye kinyang'anyiro hicho ndani ya CCM.
Kwa sasa wafuasi wa Lowassa hawataki tena kusikia kulalamika kuwa unaonewa wala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.