Recent content by vasilisa mzuri

  1. V

    JamiiForums Tanzania Picha: Kijana wa Arusha aolewa na mzungu UK

    Ungekuwa mama ungeelewa nasema nini.
  2. V

    JamiiForums Tanzania Picha: Kijana wa Arusha aolewa na mzungu UK

    Nawaza hapa mama yake atakuwa anajisikiaje.
  3. V

    JamiiForums Tanzania Lumumba hapakaliki, CCM kwafukuta

    Unashangaa mtu anasimamisha nyumba tatu kwa mkupuo mwaka tu zimeisha, ya kwako moja miaka kumi unademadema tu watanyooka tu.
  4. V

    JamiiForums Tanzania Kama sio udikteta, Mhe. Rais futilia mbali utawala wa sheria, ongoza kwa 'presidential decrees'!

    Unataka kujua hali halisi ya Tanzania? -Uchafu uliojaa kila mahali huku manispaa wakikusanya ushuru kujinufaisha wenyewe na wananchi wakiendelea kuugua na kupoteza fedha nyingi wakijiuguza, hakuna matibabu ya bure ujue. - Gharama kubwa inatumika kulipana posho, overtime, mapambo ya uwanja na...
  5. V

    JamiiForums Tanzania Kama sio udikteta, Mhe. Rais futilia mbali utawala wa sheria, ongoza kwa 'presidential decrees'!

    Wanaolalamika lazima walikuwa wanafaidika na mfumo mbovu wa kujifanyia watakavyo. Sisi tuliokuwa nje ya system tunaona kawaida tu mbona? Namuombea Mungu huyu jamaa aturudishe kwenye mstari.
  6. V

    JamiiForums Tanzania Mwendo wa korosho na maji!

    Nampa pongezi kwa kutambua hazina hakuna kitu na kuchukua hatua kukabiliana na hiyo hali. Waliopita walikuwa majanga. Hata majumbani kwetu hali ikiwa ngumu tunafunga mikanda na kujibana.
  7. V

    JamiiForums Tanzania Mwendo wa korosho na maji!

    Kwanza wamshukuru anawasaidia kupunguza magonjwa ya kujitafutia
  8. V

    JamiiForums Tanzania Rais John Magufuli akiwa na First Lady wa Tanzania Mama Janeth Magufuli katika ubora wao

    Sijawahi kuona wala kusikia mmachame aliyepindua mume. Maneno mengi bila udhibitisho
  9. V

    JamiiForums Tanzania Mwenge wa Uhuru upo kwa faida ya nani?

    Na ile michango inayochangishwa iendelee lakini ipelekwe kunufaisha wananchi.
  10. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wanene kutoolewa!

    Wanaolewa sana mbona, wengi wanaolewa na viwatu vidogo vyembamba.
  11. V

    JamiiForums Tanzania Huyu ni Nani?

    Si unajua mi wa enzi zile za picha za mkanda. Napekua album kisha niiphotoe itabidi uwe mpoleee.
  12. V

    JamiiForums Tanzania Huyu ni Nani?

    Ngoja nikutafutie the best pose.
  13. V

    JamiiForums Tanzania Huyu ni Nani?

    Loh! Kwa mapozi yangu ya picha nimegundua siasa ni big no.
  14. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alidai hahitaji msaada, atalea mtoto mwenyewe, sasa karudi kwa magoti

    Hivi kile kitufe cha like kimeenda wapi? Huu ni ukweli mtupu
  15. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania What kind of people have affairs?

    Kautafiti kangu kasiko rasmi kameonyesha wanawake wengi wana affairs ili kukomoa. " ngoja nimuonyesheee mbona na yeye ana affair"
Back
Top Bottom