Hivi niwaulize wote ambao mnataka damu imwagike ,hivi watanzania wkilianzisha kuna mmja wenu humu yuko tiali kushika ata gobire kutangulia msitari wa mbele ,tutmie Hakiri kwanza kabla ya kutenda ,inabidi tuwe na mahamzi yenye busara na hekima ,sisi ni watanzania na si wasudani wala wakenya...