Recent content by Vanlizerfx__

 1. Vanlizerfx__

  JATU ni Mr Kuku mwingine, ni swala la muda tu

  Wewe kwa kupinga ni namba moja JF
 2. Vanlizerfx__

  Nifungue project/biashara gani kwa mtaji wa million 12

  Invest in forex trading kil wik zaidi ya million 5
 3. Vanlizerfx__

  Biashara gani ulifanya ukiwa chuoni?

  Chukua laki 2 nunua stocks za apple na amazon tuliz kufika wa 12 utanipa jib au chukua lak2 nunua cardano,pilkadot,chainlink na dogecoin tuliza had mwakan mwez kam huu
 4. Vanlizerfx__

  Nafasi za kazi kwa ma secretary wa kike chini ya miaka 25

  Hahahaha haitawahi kutokea hapa bongo
 5. Vanlizerfx__

  Nafasi za kazi kwa ma secretary wa kike chini ya miaka 25

  Hatufanyi kitu kwa kubahatisha kila kitu kipo under licence
 6. Vanlizerfx__

  Nafasi za kazi kwa ma secretary wa kike chini ya miaka 25

  Wenye shida na kazi watatuma CV zao sio lazima wote watume simple tu
 7. Vanlizerfx__

  Nafasi za kazi kwa ma secretary wa kike chini ya miaka 25

  Wabongo tunakuaga wajuaji tukiwa na kazi kam hatun kazi hua ni wapole kabisa
 8. Vanlizerfx__

  Nafasi za kazi kwa ma secretary wa kike chini ya miaka 25

  Habari wana jamii forums Kama bandiko limavyojieleza natafuta masecretary wa kike watakaofanya kazi katika kampuni yangu (jina litatajwa siku ya uzinduzi) ambayo inajishughulisha na maswala ya digital currency ambayo itakua brokerage ya kwanza hapa Tz kufanya shughuli hizi CV zitumwe kwenye...
 9. Vanlizerfx__

  Cryotocurrency is real!

  Cryptocurrency ni kubwa hata mtaji wa $100 unatosha unaweza Fanya staking,arbitrage,hodl,mining,investing ,dairy trading(spot na future market) ni wewe tu na ukapata faid nzuri
 10. Vanlizerfx__

  Cryotocurrency is real!

  Nafikili ajifunze crypto arbitrage
 11. Vanlizerfx__

  Cryotocurrency is real!

  Usituludishe miak ya 19AD unataka tukaishi mapangoni
Top Bottom