Recent content by vanlizer_fx

  1. vanlizer_fx

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Marioo na Country Boy ni fire

    Habari wana jamvi, kama umepata kusikiliza wimbo wa marioo na country boy utakua unajua jinsi gani wameua kwenye hilo goma. Wimbo ni mkali sana na wametembea kwenye beat vizuri
  2. vanlizer_fx

    JamiiForums Tanzania Fursa za kazi mkoa wa taboro

    Habari wana JForums Nafasi za kazi katika wilaya ya tabora zimetoka unaweza kutazama hapa
  3. vanlizer_fx

    JamiiForums Tanzania Biashara ya hisa za kigeni imekuwa na ukakasi kwa Watanzania

    Robbinhood haikubali Tanzania nmetumia TD wamesema hawa operate tz
  4. vanlizer_fx

    JamiiForums Tanzania Biashara ya hisa za kigeni imekuwa na ukakasi kwa Watanzania

    Nlishaga MD kuhus stocks hajibu hata Leo twitter nmemuomba atuambie broker gan an a support Tanzania trader kununua stocks hajb
  5. vanlizer_fx

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa zaidi kuhusu UTT

    Asante
  6. vanlizer_fx

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa zaidi kuhusu UTT

    Habari wana jamvi Leo ningependa kufahamishwa zaidi kuhusiana na utt. Jinsi inavyofanya kazi. Jinsi ya kununua kama unaweza kujisajili na kuwekeza kwa watu tulio mbali na DSE Jinsi ya kupata faida na jinsi ya kutoa pesa [emoji116][emoji116][emoji870][emoji113][emoji870][emoji113]
  7. vanlizer_fx

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

    Naomba link ya group
  8. vanlizer_fx

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata koboko hapa Tanzania

    Mzma au ngozi
  9. vanlizer_fx

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata koboko hapa Tanzania

    Nying mno ni wewe tu
  10. vanlizer_fx

    JamiiForums Tanzania Biashara ya fedheha iliyonitoa kwenye umasikini

    Asante kwa taarifa
  11. vanlizer_fx

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop hii inauzwa kwa walio mwanza au karibu na mwanza

    Wanakuja kukupa muongozo
  12. vanlizer_fx

    JamiiForums Tanzania Ukinunua simu online (Mfano Ebay au AliExpress) kuipata ni bahati nasibu

    [emoji23][emoji23][emoji23]we jamaa utakua polic hizo ova afande ova
  13. vanlizer_fx

    JamiiForums Tanzania Unasubiri nini kupata pesa kwenye chimbo hili

    Think big and grow rich by Napoleon hill
  14. vanlizer_fx

    JamiiForums Tanzania Unasubiri nini kupata pesa kwenye chimbo hili

    Koboko tayari bado majongoo
Back
Top Bottom