Maisha yana mambo ya ajabu sana unaweza kuzaa watoto wakakutesa hadi ukafa na presha au wakawa hazina kwako na unaweza uzizae ukajutia maisha au ukaishi the best life in this world
Po
Pole mkuu, ila ndo maisha ila kila siku ya maisha yangu siwez acha kumkumbuka mama maana alipambana kufa na kupona kwa ajili yetu. Kuna siku aliumwaga tukiwa wadogo kwa mda kama wa zaid ya wiki mbili nahisi, tuliteseka sana kipindi kile
Nkikumbuka enzi nakuwa mama ambaye ndo hustler wa familia alivyopambana na sisi kwenye lile wimbi la umaskini😭😭
RIP dear mama japo matunda ya jasho lako hukuyaonja walao uliona milango inaaza kufunguka
Hii system haiko poa kabisa, unakesha ukiingiza taarifa mwisho wa siku deadline ikifika unalamba penalt. Sijui kwa nin wasiuboreshe kama mifumo mingine mfano wa Nssf uko standard sana japo n mpya
Interesting topic, ukizaa faida unayopata ni kupata mtu wa kukupenda , kukushika mkono kwenye hali zote. Japo pia unaeza zaa ukawa ndio umejibebesha mzigo rasmi
Dini bna, the more you get to know about it the more you want to stay away from it. Binafsi nadhan kwenye haya mambo heri kujua tu yale ya msingi na usiwe front line kwenye mambo haya maana unaeza juta kufahamu dini. Ila no way out dini ni system ya kijamii ambayo sio rahisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.