Recent content by Vandizo

  1. V

    JamiiForums Tanzania Udhaifu wa Mwafrika

    yani ww zumbemkuu akili yako ndo dhaifu cyo yangu mkuu coz ushajiaminisha hvo na ndo itakuwa hvo.ila usije jf kutuaminisha upumbavuu
  2. V

    JamiiForums Tanzania Udhaifu wa Mwafrika

    unaona sasa unavyowazaa halafu unakuja kutuhukumu wotee
  3. V

    JamiiForums Tanzania Udhaifu wa Mwafrika

    acheni mawazo mgando hapo cyo kuhuau akili ya mwafrika,hapo ni kuhusu kuweka miji safi kila siku jambo lisababishwalo na uzembe wa viongoz husika. usihukumu akili za mwafrika kijana
  4. V

    JamiiForums Tanzania Wanywaji wa Cocacola, soma hapa

    nina miaka 26 ctumii kilevi natumia cocacola tuu
  5. V

    JamiiForums Tanzania Wanywaji wa Cocacola, soma hapa

    Acha kutudanganya mkuu
  6. V

    JamiiForums Tanzania Kuna msichana hapa MMU kanichezea afu kaniacha

    kwa hyo ndo kakufanyia unyama huo wa kukuchezea kiasi hicho daaa
  7. V

    JamiiForums Tanzania Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

    KITUMBU TEZE KITUMBU -mhitimu kidato cha 4 pugu sec. 2011
  8. V

    JamiiForums Tanzania Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

    jesca juster mbohoo - mwanafunz udsm becom first year 2014
  9. V

    JamiiForums Tanzania Naamini nitampata atakayenifaa

    baadhi ya wadada punguzen nyodo maana ndo tabia zenu hizi mwisho wa siku usafanya kila dhambi unakuja kwa walewale uliowazarau unawaomba wakuoe noma sanaaa...
  10. V

    JamiiForums Tanzania Naamini nitampata atakayenifaa

    tatizo wakati mnatongozwa kipind upo na miaka jati 20-25 maringo mengi mwanachuo mara unataka bwna aliyesoma,mwenye hela na kusahau kuwa wanaume ni hawahawa unaowazarau leo unakuja kuwaomba wakuoe
  11. V

    JamiiForums Tanzania Naamini nitampata atakayenifaa

    kuolewa wito kama ushehe/upadre/uchungaji
Back
Top Bottom