Recent content by vandiayke

  1. vandiayke

    JamiiForums Tanzania Hii ndio tafsiri halisi ya siasa kwa mtu wa kawaida kama mimi

    Maji marefu hayo, hawayawezi. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. vandiayke

    JamiiForums Tanzania Watani zangu ni nani aliyewaroga?

    Huyo jamaa pichani ni mnigeria na anaitwa Adebejo. Sasa sijui kama tz na njr ni watani
  3. vandiayke

    JamiiForums Tanzania Bashiri kazi ya members wa JF kwa kuangalia comment na Thread zake!

    Mi nauza vinyago soko la Sinza
  4. vandiayke

    JamiiForums Tanzania Musiba: Nina majina 1,800 ya wanaompa Mange Kimambi siri za Serikali; kuna vigogo wa Serikali, CCM na CHADEMA

    Mange sio mtanzania, alichukua uraia wa Marekani na kuukana utanzania.
  5. vandiayke

    JamiiForums Tanzania Spika Job Ndugai: Wanawake waliotelekezwa na wabunge wafike ofisini kwangu au waandike barua

    Mkuu, Spika wala hajamaanisha kulipa au kusaidia cho chote hapo bali alikua anataniana na wabunge wenzie. Ndio maana kasema "kuna wanaume wamedai kutelekezwa na wabunge wanawake", je kuna ukweli hapo?
  6. vandiayke

    JamiiForums Tanzania Kama Rais hana huruma na Mtanzania na anasema waziwazi; Je, sirini ni yapi anayaagiza juu ya Raia?

    Huyu mzee ndio mshua wa kweli, wafungwa watumie muda wao wa kifungo kwa faida, walime, wajenge majumba, mabarabara, reli, nk.
  7. vandiayke

    JamiiForums Tanzania Serikali ipeleke Muswada Bungeni kufuta Uraia wa Diaspora wanaohamasisha vurugu kwa Watanzania

    Kuhamasisha vurugu ndio uzalendo? Mbona mnachanganyikiwa ha!
  8. vandiayke

    JamiiForums Tanzania Serikali ipeleke Muswada Bungeni kufuta Uraia wa Diaspora wanaohamasisha vurugu kwa Watanzania

    Mkuu, je una ushahidi wa hayo uliyoyaandika? Kua makini ndugu.
  9. vandiayke

    JamiiForums Tanzania Serikali ipeleke Muswada Bungeni kufuta Uraia wa Diaspora wanaohamasisha vurugu kwa Watanzania

    Mkuu Lizaboni naunga mkono hoja kwa %100
  10. vandiayke

    JamiiForums Tanzania Hivi CHADEMA siku hizi inasimamia nini?

    Jaribu kuelewa swali mkuu, ameuliza "chama kiasimamia nini?" Sio mtu anasimamia nini.
Back
Top Bottom