Recent content by Vanc Klein

  1. Vanc Klein

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Sio kweli hujatuma kitu
  2. Vanc Klein

    Ushauri: Anataka kumfukuza Mkewe

    Kama fala vile yaan umfurumushe aende wapi wakati hapo ndo kwao na wewe unalelewa kama mzoga wewe ndo uwondoke hapoo shwaini kabisa Uzi wa kijinga
  3. Vanc Klein

    Kama umeoa tafuta na kamchepuko Kwa akili

    Yaan Hadi una andika maelezo yote hayo kusapoti umalaya na ufalaa mkubwa ww jiangalie😏😂
  4. Vanc Klein

    Tangazo la nafasi za kazi TAA la Tarehe 01/09/2023

    😂😂 Nimechanganya tuliitwa ATCL yaan air Tanzania company limited cio TAA na usaili tulifanya pale chuo Cha utalii
  5. Vanc Klein

    Hivi wakemia ulimwenguni kote wameshindwa kabisa kutengeneza dawa ya kutibu UKIMWI?

    Wewe tulia uhangaike huko upate ukimwi uje utusumbue tukutafutie tibaa😂😂😂😂
  6. Vanc Klein

    Tangazo la nafasi za kazi TAA la Tarehe 01/09/2023

    Tumeshaitwa tuliitwa kwenye usaili mwezi wa 11 mwishoni mwezi wa 12 tukaitwa kazini
  7. Vanc Klein

    Inakuwaje waliopata GPA ya 2 wanapata kazi huku waliofaulu zaidi wakiachwa wazurule?

    Kwahiyo unamaanisha GPA y 2 sio watu au hawastaili kuajiriwa acha ufala wewe
Back
Top Bottom