Kama umeoa tafuta na kamchepuko Kwa akili

tandabui2021

JF-Expert Member
Nov 5, 2021
3,120
5,362
Ndugu ukiwa na mke hata akionyesha ni mwaminifu kiasi gani tafuta mchepuko.Mchepuko unafaida zifuatazo,unaact kama buffer na kimsingi unasaidia kujifanya ndoa yako iwe stable zaidi. Mfano badala ya kukaa home unagombana na mke wako aliyenuna unachomoka unaenda Kwa mchepuko anakupeti peti ,baadaye unarudi zako home ulalala kimya.

Wakati mwingine upo na mke wako kakunyima unyumba unatoka taratibu unaenda Kwa mchepuko wako .unajua mchepuko Huwa hadeki na anakupa yote.ni nadra kukuta mchepuko kanuna.mimi hapa Nina forty years ninakamchepuko kangu kana miaka 22.

Kimsingi kananijali sana siku hizi. Huyo mwanamke anajifanya yupo busy sana na kazi kuliko familia, Kwa kifupi mimi sio mtu Muongeaji sana.unaweza ukawa upo na mtu anajifanya yeye ndio anajua Kila kitu duniani. Faida nyingine ya kuwa na mchepuko aikubukiachwa huwezi waza kujinyonga walahi unaondoka ukiwa happy.

Ili mke wako atambue udhaifu wake mtafutie mchepuko,kama anaakili ata Fanya reflection ni wapi alikukosea.kama unataka kufa na stress Baki na mwanamke mmja,yaani uwe Kila wakati unakafikiria ka mwanamke kamoja tuu?.
 
Ndugu ukiwa na mke hata akionyesha ni mwaminifu kiasi gani tafuta mchepuko.Mchepuko unafaida zifuatazo,unaact kama buffer na kimsingi unasaidia kujifanya ndoa yako iwe stable zaidi.mfano badala ya kukaa home unagombana na mke wako aliyenuna unachomoka unaenda Kwa mchepuko anakupeti peti ,baadaye unarudi zako home ulalala kimya.wakati mwingine upo na mke wako kakunyima unyumba unatoka taratibu unaenda Kwa mchepuko wako .unajua mchepuko Huwa hadeki na anakupa yote.ni nadra kukuta mchepuko kanuna.mimi hapa Nina forty years ninakamchepuko kangu kana miaka 22.kimsingi kananijali sana siku hizi.Huyo mwanamke anajifanya yupo busy sana na kazi kuliko familia ,Kwa kifupi mimi sio mtu Muongeaji sana.unaweza ukawa upo na mtu anajifanya yeye ndio anajua Kila kitu duniani.faida nyingine ya kuwa na mchepuko aikubukiachwa huwezi waza kujinyonga walahi unaondoka ukiwa happy.ili mke wako atambue udhaifu wake mtafutie mchepuko,kama anaakili ata Fanya reflection ni wapi alikukosea.
Wewe ndiyo ulileta fujo kwenye kikao cha familia ili uwa control ndugu zako kibabe??
Kumbe una miaka 40
 
Acha uhuni unaharibu future ya huyo binti wa miaka 22
IMG-20240102-WA0006.jpg
 
Ndugu ukiwa na mke hata akionyesha ni mwaminifu kiasi gani tafuta mchepuko.Mchepuko unafaida zifuatazo,unaact kama buffer na kimsingi unasaidia kujifanya ndoa yako iwe stable zaidi.mfano badala ya kukaa home unagombana na mke wako aliyenuna unachomoka unaenda Kwa mchepuko anakupeti peti ,baadaye unarudi zako home ulalala kimya.wakati mwingine upo na mke wako kakunyima unyumba unatoka taratibu unaenda Kwa mchepuko wako .unajua mchepuko Huwa hadeki na anakupa yote.ni nadra kukuta mchepuko kanuna.mimi hapa Nina forty years ninakamchepuko kangu kana miaka 22.kimsingi kananijali sana siku hizi.Huyo mwanamke anajifanya yupo busy sana na kazi kuliko familia ,Kwa kifupi mimi sio mtu Muongeaji sana.unaweza ukawa upo na mtu anajifanya yeye ndio anajua Kila kitu duniani.faida nyingine ya kuwa na mchepuko aikubukiachwa huwezi waza kujinyonga walahi unaondoka ukiwa happy.ili mke wako atambue udhaifu wake mtafutie mchepuko,kama anaakili ata Fanya reflection ni wapi alikukosea.
Sawa muhishimiwa.Nitalifanyia kazi kwa umahiri wa viwango vya juu sana.Sijajua kama utapenda kutumia kinywaji gani huku wana "Kiko Kids" kutoka mitaa ya Ng'ambo pale Tabora mjini wakikutumbuiza na kibao cha "Ramadhani nirudishie saa yangu"?
 
Ndugu ukiwa na mke hata akionyesha ni mwaminifu kiasi gani tafuta mchepuko.Mchepuko unafaida zifuatazo,unaact kama buffer na kimsingi unasaidia kujifanya ndoa yako iwe stable zaidi.mfano badala ya kukaa home unagombana na mke wako aliyenuna unachomoka unaenda Kwa mchepuko anakupeti peti ,baadaye unarudi zako home ulalala kimya.wakati mwingine upo na mke wako kakunyima unyumba unatoka taratibu unaenda Kwa mchepuko wako .unajua mchepuko Huwa hadeki na anakupa yote.ni nadra kukuta mchepuko kanuna.mimi hapa Nina forty years ninakamchepuko kangu kana miaka 22.kimsingi kananijali sana siku hizi.Huyo mwanamke anajifanya yupo busy sana na kazi kuliko familia ,Kwa kifupi mimi sio mtu Muongeaji sana.unaweza ukawa upo na mtu anajifanya yeye ndio anajua Kila kitu duniani.faida nyingine ya kuwa na mchepuko aikubukiachwa huwezi waza kujinyonga walahi unaondoka ukiwa happy.ili mke wako atambue udhaifu wake mtafutie mchepuko,kama anaakili ata Fanya reflection ni wapi alikukosea.
Ushauri wako ni kama nguvu za giza
 
Back
Top Bottom