Hapana kiongozi ni vile mambo ni mengi sana pia nimebadilisha mawasaliano yangu kwasasa napatikana kwa Namba hii +255 748 572 367 napatikana muda wowote
Hili swala linaumiza sana , hii scenarios ilimtokea mdogo wangu nae ilikuwa hivi hivi alikuwa na 1 ya 7 so akakosa vyuo vya serikali na kuchaguliwa chuo Cha private ambacho Ada yake kwa mwaka pamoja na michango mengine inafika zaidi ya million 8 japo yeye alipata ela ya accomodations, ikabidi...
50*50 ziko aina nyingi na zote zinabei tofaut tofauti Kuna FG 50*50 bei ni 29500 (hizi ni za rough azitelezi)
PY 50*50 bei 29600 (hizi ziko full polished)
PG 50*50 bei 29600
X 50*50 bei 29600
Pia kuna black
SY 50*50 bei 38,000(hii ni full polished)
HX 50*50 bei 29900
Zijue aina za tiles zinazozalishwa na goodwill
Habari za muda huu wakuu leo nimekuja kwenu kwa kuwaelezea kwa uchache kuhusu tiles za Goodwill
Kwanza kabisa goodwill ceramic ( T) company limited ni company Namba Moja kwa uzalishaji wa tiles kwa hapa Tanzania na ndio tiles zinazopendwa zaidi...
Good idea bro
Profession: procurement and supply (registered with procurement board (Psptb )
Experience: 2 years(procurement officer and store office )
3 year (sales supervisor)
Education: Diploma
Other profession : Driver ( certificate and driving license)
Location : Dar es salaam
Age : 27...
Pole sana ndugu hemedy nikushauri ipo company ya kukopesha Bajaj na pikipiki iko mwenge mpakani inaitwa watu credit , nakushauri nenda pale upewe maelekezo then utafanya assessment ni heli ukope kwenye iyo company ya watu au uendelee kumshawishi mzee akukupe bank au sehemu nyengine yenye riba ndogo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.