Recent content by Van persie

  1. Van persie

    Ama kweli nabii hakubaliki nyumbani. Je, Magufuli ni nabii? Tanzania wanambeza, Afrika wanamlilia! Tanzania yapigiwa mfano Magufuli awe Rais wa Afrika

    Naona umeamua kuonyesha rangi halisi.Wabongo saa nyingine huwa hamjielewi.Anasifika kwa lipi.Kusimamia miradi ya mikopo.Be serious.
  2. Van persie

    Media za Bongo na muendelezo wa Copy & Paste

    Kwenye vipindi Clouds ni wabunifu Kwenye studio set-up wasafi ni wabunifu.
  3. Van persie

    Marekani: Tanzania imekuwa kituo kikuu cha wauzaji wa dawa za Kulevya Afrika Mashariki

    Mimi nakumbuka wakati wa JK.Kuna jamaa walikuwa wanauza openly kabisa.Yani anakuja asubuhi anapaki BMW lake maeneo fulani sitayataja hapa.Mateja wanakuja pale wanananua.Polisi wakifika pale.Wanaongea naye ana watoa.Biashara inaendelea.Bongo nyoso sana.
  4. Van persie

    Kuna uhusiano wowote wa Waziri Jafo kuwa mwislamu na hasira kali aliyopata hadi kumsimamisha mtumishi mlevi kazi?

    Hamna mfia dini kama Jaffo.Nakumbuka kwenye ishu ya kuchinja.Alikuja juu sana kupinga wakristo kuchinja utadhani hii inchi ni ya kidini.Walitaka kuzichapa na aluyekuwa mbunge kutoka mkoa wa Kigoma>>>Machali. Mdini sana.Hafai hata kuwa kiongozi yule. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Van persie

    Kuhamishia wanyama huko Burigi: Neema kwa Rwanda

    We have become the proxy colony of Rwanda without our knowledge.Hiko kitu kidogo tu.Tunajenga SGR kwenda Kigari so that we could give more power and influence to Rwanda over DRC which we could get by ourself. Our economic intelligence sijui imeenda wapi?Peleka reli Kigoma,Mwanza na...
  6. Van persie

    Tujikumbushe: Dr. Mwakyembe apelekwa India kwa matibabu ya ugonjwa wa ngozi usiojulikana

    Wakina Lowassa wangemalizana naye huyu mpumbavu.
  7. Van persie

    Mwalimu Nyerere kwanini alichagua Twiga? Ni Mnyama dhaifu sana!

    Kimsingi sijakubaliana na hoja yako.Kwa kutolea mfano nchi kama Uganda wamamtumia crane kama symbol yao.Haimaanishi ni dhaifu bali ni kwamba wanapatikana sana nchini mwao.Ukifika Uganda ni lazima ukutane na Crane.Ndio maana timu yao ya taifa inaitwa Uganda cranes.Kwenye bendera yao pia yupo etc...
  8. Van persie

    Kwa bei hizi za korosho 2019 / 2020 tutarajie lolote kutoka kwa Rais Magufuli?

    Tunaenda hatua 8 mbele na kurudi 10 nyuma alafu tu ajipongeza.Kiukweli amefeli kwenye hili zao.
  9. Van persie

    Hivi kuna ubalozi hata mmoja umeanza kujenga ofisi za ubalozi Dodoma?

    Nani aende kula vumbi la jangwani kule.Dodoma project is a white elephant.
  10. Van persie

    Eritrea panatisha, Bora Tanzania

    Mpwa hizi toto zipo huko au maghumashi.Naomba visa fasta.
  11. Van persie

    P.Kagame na Rwanda mimi sidanganyiki, sijui wengine!

    Yule achana naye anafanya Dubailazation.Soon utasikia wabongo wanazamia kule. Rwanda soon tu inakuwa Free Economic Zone and Trade hub kubwa Africa. -Anasubiria tumfikishie Standard gauge Railway[SGR] -Anajenga Airport mpya kubwa the size of Bole International airport ya Ethiopia.Hili kucompete...
  12. Van persie

    Ushauri Kwa Channel Ten, Japo ni TV ya CCM, Zingatieni Professionalism za Newsworthyness za Kihabari Kutanguliza Mbele Maslahi ya Taifa, CCM Ifuatie.

    Katika TV channeli zenye quality mbovu ya picha ni Channel ten,TBC,Clouds Tv,TvE ni very low in standards and professionalism.Mpaka leo bado zimeshindwa kujenga studio za kisasa angalau ata kwa level ya ITV na Azam media. Ukienda Kenya Tv ndogo tu zina facilities zote za kisasa.Picha...
  13. Van persie

    Eneo la bahari la Tanganyika(Tanzania bara) ni lipi?

    Only solution kwa Zanzibar ni kuakalia kimabavu tu.Au kupandikiza population ya wabara huko.Situation yake ni complicated.I don’t trust them kama partner wa Muungano.
  14. Van persie

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania Palamagamba Kabudi, azozana na Mwandishi wa habari

    Mi niliacha kumsikiliza.Ana jeuri sana.Ni moja ya watu wanaomwingiza chaka Baba jesca.
  15. Van persie

    Neema za Mkutano wa SADC kwa Wachonga Vinyago na Wajasiliamali wa Makonda, Mhh... KFC Yapumulia Mashine, Masaa Mawili, Mteja Mmoja!.

    Sijui KFC,Burger King,Macdonald etc hizo kwa nchi nzetu ni sehemu za middle class people kwenda kupata msosi,lakini ni cheap eating places kwa mataifa yenye uchumi mkubwa.Unfortunately middle class imeendelea kusinyaa katika awamu hii kuliko nyakati zozote.Kikwete aliijenga middle class,huyu wa...
Back
Top Bottom