Ushauri Kwa Channel Ten, Japo ni TV ya CCM, Zingatieni Professionalism za Newsworthyness za Kihabari Kutanguliza Mbele Maslahi ya Taifa, CCM Ifuatie.

Mkuu Pascal Mayalla miaka ya 1995 nadhani Channel Ten ilikuwa bado bali kulikuwa na DTV. Nakumbuka sekeseke la kumtangaza Maalim Seif kwamba kashinda uchaguzi kule Zanzibar 1995! Nakumbuka kama wewe ndio ulitangaza habari ile bila kufuata uweledi!!! Nakumbuka kipindi chako cha mada motomoto!!

..aliyetangaza kuwa Maalim kashinda hakuwa Godfrey Mngodo?

Cc Pascal Mayalla
 
Njia ni ile ile , Uhuru , SUKITA , TOT , hata hawa wamejiingiza wenyewe kaburini , hakuna mradi wowote wa ccm unaodumu , fanya utafiti
 
Katika TV channeli zenye quality mbovu ya picha ni Channel ten,TBC,Clouds Tv,TvE ni very low in standards and professionalism.Mpaka leo bado zimeshindwa kujenga studio za kisasa angalau ata kwa level ya ITV na Azam media.

Ukienda Kenya Tv ndogo tu zina facilities zote za kisasa.Picha nzuri,studio safi.Hapa kwetu ni sifuri,ata TBc inayotokana na kodi zetu.Imeshindwa kujiboresha.So sad!
 
Back
Top Bottom