Recent content by Van brokhost

  1. V

    Ijue siri na sababu za malalamiko ya Teuzi kwa hoja za Udini katika Awamu hii ya Sita

    Ukienda Zanzibar watakujengea sanamu kwa comment yako hiyo ninavyowajua Wazanzibari
  2. V

    Nimempenda sister wa kanisa

    Sio udini kasema haki kasema ilichokisema dini ya Kiislam miaka 1400 ulopita Huujui Uislam kaka bora nyamaza au isome vizuri dini ya Kiislam. Katika dini iliyomtukuza m'ke ni dini ya Kiislam
  3. V

    Maendeleo Zanzibar mchawi Tanganyika

    Punga ni wewe. Dhalimu mkubwa juu ya Wazanzibari
  4. V

    Uteuzi wa Shaka kuwa Mkuu wa Wilaya ni anguko haswaa

    Wapo kule Zanzibar wakuu wa wilaya tena wakristo. Fatilia vizuri
  5. V

    Akumbukwe John Okello, Baba wa Taifa la Zanzibar. Bila huyu leo Zanzibar wangekuwa bado Utumwani

    Zanzibar walipata Uhuru Disemba 10 mwaka 63. Nina hakika Chizi hilo unalijua
  6. V

    Bodi ya Mapato Zanzibar yapandishwa hadhi

    Wangekua kama Dubai tangu 1970 ila wamekaliwa kooni na Wakoloni weusi hadi hii leo ili wasiendelee
  7. V

    Akumbukwe John Okello, Baba wa Taifa la Zanzibar. Bila huyu leo Zanzibar wangekuwa bado Utumwani

    Sasa uzalendo wapi kwa wazanzibari upo wapi? Unadhani alikua na uzalendo kwa wazanzibari au uadui tuu? Unafahamu nini unaposema neno "Uzalendo" ?
  8. V

    Akumbukwe John Okello, Baba wa Taifa la Zanzibar. Bila huyu leo Zanzibar wangekuwa bado Utumwani

    Kweli wewe Chizi. Mzalendo wa Uganda atakua na uzalendo na Zanzibar pia!!
  9. V

    Maendeleo Zanzibar mchawi Tanganyika

    Bora kende za Sultani kuliko kende za jitu jeusi
  10. V

    Mwana Mapinduzi John Okello

    Laana za Allah ziwe juu yake hadi siku ya hukumu. Hapo walipofika Wazanzibari juu ya kila hali yao basi sababu ni yeye na genge lake lote. Wazanzibari walipata uhuru wao Disemba 10 mwaka 63. Mtu kutoka Uganda yanamhusu nini Mapinduzi na harakati za Zanzibar!! Tafakari
  11. V

    Hivi ni kwanini Zanzibar haijawahi kutawaliwa na Rais Mkristo na ni sehemu ya Tanzania?

    Sio wanajiona. Ni nchi kamili Tanganyika mwaka 64 waliungana na Zanzibar sio Tabora wala songea!
Back
Top Bottom