Recent content by Vampire

  1. V

    JamiiForums Tanzania Msasani, Dar: Mtu mmoja afariki dunia akiwa na mwanamke kwenye nyumba ya kulala wageni(Guest house)

    Kafia kwenye utamu kama inzi anavyofia kwenye kidonda
  2. V

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Zanzibar na uhusiano wa imani za kidini

    Wakati uchaguzi mkuu wa marudio unakaribia kufanyika, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa waumini na viongozi wa dini fulani kutokea Tanzania Bara kuwa kinachokusudiwa kufanywa Zanzibar ni kuwakandamiza wao, na wamefikia mbali zaidi na kusema ardhi au eneo la Zanzibar ni la dini yao tu ila watu wa...
  3. V

    JamiiForums Tanzania Vijana wa CHADEMA Geita watembea kwa mguu hadi Ikulu Dar es Salaam

    Wafike salama na wafikishe ujumbe wao sehemu husika, ila uwe kwa manufaa ya taifa kwa ujumla usiwe umelenga kundi la watu wachache katika taifa hili linaloonekana kupoteza uelekeo sahihi kunakosababishwa na wenye nguvu wachache kutaka kujinenepesha wenyewe na kuwanyonya wanyonge.
  4. V

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    Daaah!!! Ni dalili mbaya hizo, kama ni kweli imetokea hivyo, tujiandae kushuhudia maandamano na uhasama kati ya polisi na waislam.... Ila kuna kitu kinakosekana aidha kwa pande zote au upande mmoja, nacho ni BUSARA.
  5. V

    JamiiForums Tanzania Dr. Ulimboka yupo mafichoni, kuzungumza wakati wowote!

    Natamani hiyo press conference angeifanya sasa hivi na kuwaumbua hao wenye roho mbaya kwa watetea haki.
  6. V

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Vile vile wale watu wa huduma ya kwanza wasikae mbali na kibabu FARGIE kwenye mechi zitakazokutanisha timu yake na LIVERPOOL.Atakuwa anameza zile Big G zake mara kwa mara na kumletea matatizo.
  7. V

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    We're preparing for EPL title 2011-2012.YOU'LL NEVER WALK ALONE,Kwani mapinduzi yanayofanywa na KING KENNY kwa kutumia kisu kikali SUAREZ na wenzake ni lazima ubingwa wa EPL 2011 - 2012 utue ANFIELD.
  8. V

    JamiiForums Tanzania Jamani vp matokeo ya Taifa stars U-23 huko Kameruni?

    Tungepigwa 3 kwa 1 ila ushujaa wa Shaaban Kado kudaka penati umetuokoa. Mfungaji wa goli la Tz ni Thomas Ulimwengu.
  9. V

    JamiiForums Tanzania How to use JamiiForums effectively

    Thanks Mr Invisible.
Back
Top Bottom