Jamani vp matokeo ya Taifa stars U-23 huko Kameruni?

Lighondi

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
581
184
Leo timu yetu ya taifa ya mpira wa miguu wanaume chini ya miaka 23 imecheza na wenzao wa Kameruni. Matokeo yapoje maana sina apudate yoyote mpaka mda huu.

Naomba msaada kwenye tuta!!
 
nimesikia tumefungwa 2 kwa 1...kama ni kweli basi hayo ni matokeo mazuri na ya kutoa matumaini!
 
Matokeo katika mechi hiyo ya U-23 African Olympics Qualifiers Cameroon 2-1 Tanzania, hope hao Wanugu wakija shamba la bibi tunawabanjua bila wasiwasi
 
Tungepigwa 3 kwa 1 ila ushujaa wa Shaaban Kado kudaka penati umetuokoa. Mfungaji wa goli la Tz ni Thomas Ulimwengu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom