Wakati uchaguzi mkuu wa marudio unakaribia kufanyika, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa waumini na viongozi wa dini fulani kutokea Tanzania Bara kuwa kinachokusudiwa kufanywa Zanzibar ni kuwakandamiza wao, na wamefikia mbali zaidi na kusema ardhi au eneo la Zanzibar ni la dini yao tu ila watu wa dini nyingine kwa kutumia nguvu ya kimadaraka ya serikari(Tanzania Bara) wanataka kuwakandamiza.
Je, ni kweli uchaguzi wa Zanzibar unauhusiano wa moja kwa moja na imani za kidini?
Je, ni kweli uchaguzi wa Zanzibar unauhusiano wa moja kwa moja na imani za kidini?