Duuh,hili jibu la Spaeker kwa Mh.Lema,nimelipenda sana.Sijui alitumia kanuni au ni matakwa yake binafsi kwa kutaza aliyoyatazama kama Jinsi,Uwiano wa Vyama,uwakilishi n.k?.Yaani waliomtwisha hilo zigo,wamemuonea sana maana wamempa kipindi kibaya sana,thats why alishtuka baada ya kuona takribani...