Recent content by valid statement

  1. V

    JamiiForums Tanzania Mlengaji wa kiwanja njoo fasta nimekuletea dhahabu.

    350,000×721=252,350,000 Muuzaji anataka 90,000,000 Bei sahihi ni ipi ?
  2. V

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kuvuna na kuhifadhi Maji ya mvua

    Hii ingetakiwa iwe kurasa ya 500+
  3. V

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyewahi kuwa Mbunge wa Moshi Mjini, John Mwanga afariki dunia usiku wa kuamkia leo

    Joseph Mtui....kupitia NCCR Mageuzi...1995-2000....mbunge moshi mjini
  4. V

    JamiiForums Tanzania Hii ajali ya Handeni leo nimeishuhudia kwa macho ila nna haya ya kusema

    Kuendesha usiku sio kila mtu anaweza....inahitajika umakini wa hali ya juu na nidhamu sana.
  5. V

    JamiiForums Tanzania Vocha ya sh 1000 kuuziwa 1200 inatafsiri nini!

    ni za kweli.vocha zimepanda bei
  6. V

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Izo tiles na wako peku???wanatafuta ugonjwa wa baridi yabisi
  7. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushawahi ishi na binti nyumba moja anakupenda kama hakupendi

    amri ya sita.USIŹINI...walaa hata karbu zinaa
  8. V

    JamiiForums Tanzania Kumbe matapeli bado wapo

    ndo wanatapelije?
  9. V

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelezwa kwa undani kuhusu government bond kutoka BOT

    hivi hua ni uvivu wa kutafuta, wa kusoma au ni hulka tu kutaka kuuliza uliza na majibu yanatikana hata kwa kusearch hapa hapa jamii fôrum. Haya unataka kujua bond za BOT kuhusu nini hasa?ili usaidiwe
  10. V

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda nikiwa mhudumu wa gesti kwa miaka 10

    Tell us what we dont know, usituambie hayo tunayoyajua.
  11. V

    JamiiForums Tanzania Kukosea kupiga simu kwanini iwe kwa watu wa kabila moja?

    Niidhani hili balaa linaniangukiaga mimi tu.Mara zote ni wasukuma
  12. V

    JamiiForums Tanzania GoodOne sales officer

    Kufanya kurasa huu active..kuwa unapost bidhaa na bei yake... Usihangaike na kuangalia comments watu hawaandiki.wenye shida watakutafuta tu.
  13. V

    JamiiForums Tanzania Special thread: Kilimo cha umwagiliaji (Irrigation)

    Kilimo cha umwagiliaji ndio kitatu Komboa. Kutegemea mvua ni hasara za kujitakia
  14. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilijitoa kufanya naye maisha ila ameniachia wakati mgumu nikiwa na mimba yake

    Hela za kiwanja alochouza zitaisha ...na atarudi kwako kwa machozi na magoti..na majuto. Na utamsamehe.mtayajenga upya.Amen. Vumilia kipindi hiki cha mpito.Jambo moja hukufanya, ni kusali na kuomba kwa ajili ya mahusiano yako. Bado hujachelewa ingia magotini.
  15. V

    JamiiForums Tanzania Matumizi yangu yote ya mwezi June

    Uko vizur.Mana sijaona mahali penye rejesho ...ina maana hujakopa.... Mkuu...The girl ndio kuhonga??
Back
Top Bottom