Recent content by vakani vakani

  1. vakani vakani

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume, nina miaka 24

    Sifa zote ninazo isipokua mim ni mfupi. Kama bado haujapata na upo tayari kua na mume mfupi nicheki
  2. vakani vakani

    JamiiForums Tanzania Ujerumani: Euro bilioni 65 kutolewa kwa wananchi kukabiliana na gharama za maisha

    Wao walisema wanaachana na utegemezi, urusi anawasaidia kufikia malengi yao haraka
  3. vakani vakani

    JamiiForums Tanzania EU: Tumejiandaa endapo Urusi itasimamisha kabisa usambazaji wa gesi

    Ninyi munaheshimu hiyo mikataba na sheria?nyie ndio wahauni wa kwanza
  4. vakani vakani

    JamiiForums Tanzania Uzi wa bidhaa used tu, kwa bei nafuu

    Hizo radio shilingi ngapi?
  5. vakani vakani

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mwanaume aliyetayari kuwa mume

    Nicheki pm tuyajenge
  6. vakani vakani

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata spare za Suzuki Jimny wide

    Wapi niagize ndugu
  7. vakani vakani

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata spare za Suzuki Jimny wide

    Vifaa ni 1. Hub oil seal rear 2. Brake shoe rear 3.brake pads front 4.Fan belt 5.Door dust rubber front LH and RH 6.Door dust Rubber rear 7.Clutch A/C Compressor assy
  8. vakani vakani

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata spare za Suzuki Jimny wide

    Ndugu habarini za majukumu. Naomba kujua sehemu naweza pata spare za Suzuki Jimny wide.
  9. vakani vakani

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kununua gesi na mafuta kwa Rouble: Putin awafanya mabeberu Kama watoto wadogo

    Kwani hiyo vikwazo vipo kwenye mkataba
  10. vakani vakani

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya: Afrika iungane na dunia yote kuipinga Urusi

    Sis halituhusu hilo, mbona mulimuua Gaddafi hamukulaani ?
  11. vakani vakani

    JamiiForums Tanzania Who is Putin?

    Mbona hatukuona unatoa comments wakati nchi huru libya, Iraq etc zikivamiwa na usa na nato . Watu wengine mmerogwa.
  12. vakani vakani

    JamiiForums Tanzania Russia yasema itaishambulia S-300 ya Slovakia itayokuwa ikipelekwa Ukraine

    USA na nato wamezipangia nchi ngapi namna ya kuishi? Tena kwa vita, machafuko au mauwaji. Usiseme kwa chuki tu
  13. vakani vakani

    JamiiForums Tanzania Putin ni Mwanadamu au Shetani Katika Umbile la Mwanadamu?

    Adhabu waanze kupewa marekani na nato ndio wauwaji namba moja. Sehemu nyingi wameua watu hao, nawashangaa sana nyie
  14. vakani vakani

    JamiiForums Tanzania ICC kuchunguza uwezekano wa uhalifu wa kivita nchini Ukraine

    Wahuni tu hao, America na NATO ndio waarifu namba moja, mmewahi kuwachunguza. Mnapendeleana tu
Back
Top Bottom