Russia yasema itaishambulia S-300 ya Slovakia itayokuwa ikipelekwa Ukraine

Yaani alisema atakayeisaidia ukrain kuvyovyote ana deal naye, ila sasa hivi wanaoisaidia ukrain wanaita na press kutangaza kupeleka msaada wa kivita. Ila jamaa ana mikwala mizito, mwanzoni watu walinywea ila baada ya kuona mambo yanavyomwendea huko Ukraine naona kila mtu anajishikia sharubu.
 
Kuna mambo yanaepukika maana akifanya haraka uharibifu ni mkubwa zaidi.
Usishambikie vita sio movies wala video games

Mabomu ya mbagala na Gomes unakumbuka watu walivyoacha nyumba zao na kuokoa maisha yao sembuse kushambulia directly
 
Biden ana force kuiangusha Russia ,baada ya hesabu zake ku fail, uzuri wa Putin anatoa onyo,ukimbip anakupigia mazima.sasa naona Kuna mtu anambip Putin .
Mnavyo muinua huyu #Putin akisoma humu lazima awape uraia wa Urusi #naona #putin anaona raha sana kumwaga damu za watu wasio na hatia

Yani kwenye hii Dunia who is Putin anajikuta anawapangia nchi huru jinsi ya Kuishi huyu jamaa sio binadamu wa kawaida ana roho ya mauaji ndani yake Mungu mwenyewe ambadilishe.

Yani its like Tz leo tukitaka kujiunga Jumuiya yoyote tunayoona inatufaa eti Kenya atupige mkwara kisa tupo EAC
 
Kwanza alisema yeyote atakaisaidia Ukraine cha moto atakiona,kinyume chake tumeshuhudia misaada ya kijeshi na kifedha ikipelekwa Ukraine hadharani na mpaka sasa hakuna chochote alichokifanya.
Uone kama kuna msaada utapelekwa tena kwa COMEDIAN
RUSSIA sio ZIMBABWE
 
Mnavyo muinua huyu #Putin akisoma humu lazima awape uraia wa Urusi #naona #putin anaona raha sana kumwaga damu za watu wasio na hatia

Yani kwenye hii Dunia who is Putin anajikuta anawapangia nchi huru jinsi ya Kuishi huyu jamaa sio binadamu wa kawaida ana roho ya mauaji ndani yake Mungu mwenyewe ambadilishe.

Yani its like Tz leo tukitaka kujiunga Jumuiya yoyote tunayoona inatufaa eti Kenya atupige mkwara kisa tupo EAC
hata namna yakula ikibidi PUTIN atawapangia tuu
PUTIN apeleke moto haswaaaa
 
Yaani alisema atakayeisaidia ukrain kuvyovyote ana deal naye, ila sasa hivi wanaoisaidia ukrain wanaita na press kutangaza kupeleka msaada wa kivita. Ila jamaa ana mikwala mizito, mwanzoni watu walinywea ila baada ya kuona mambo yanavyomwendea huko Ukraine naona kila mtu anajishikia sharubu.
Paper Tiger
 
Kuna mambo yanaepukika maana akifanya haraka uharibifu ni mkubwa zaidi.
Usishambikie vita sio movies wala video games

Mabomu ya mbagala na Gomes unakumbuka watu walivyoacha nyumba zao na kuokoa maisha yao sembuse kushambulia directly
Duh yaani pro Russia mmefikia stage mishipa yenu ya aibu imekata kabisa,mnaongea upuuzi na utumbo wa hali ya juu hadharani bila aibu. Hayo majumba,mahospital na miundombinu inayopigwa mabomu kila siku wanaishi Kuku na Bata?
 
Hao jamaa ni wapumbavu, marekani ni wachonganishi. Wanataka kuungwa mkono na dunia nzima bila kuwa na hoja ulaya pamoja na kumlaani urusi wanajua ukweli uko wapi.
Wakati urusi anavamia cremea marekani alimshawishi mfaransa asimuuzie mrusi manowari ya kivita ambayo tayari alishapokea pesa, juzijuzi mmarekani kamzunguka mfaransa kwenye dili la kutengeneza manowari australia
 
Mnavyo muinua huyu #Putin akisoma humu lazima awape uraia wa Urusi #naona #putin anaona raha sana kumwaga damu za watu wasio na hatia

Yani kwenye hii Dunia who is Putin anajikuta anawapangia nchi huru jinsi ya Kuishi huyu jamaa sio binadamu wa kawaida ana roho ya mauaji ndani yake Mungu mwenyewe ambadilishe.

Yani its like Tz leo tukitaka kujiunga Jumuiya yoyote tunayoona inatufaa eti Kenya atupige mkwara kisa tupo EAC
Wewe mbona hujapewa uraia wa marekani
 
USA na nato wamezipangia nchi ngapi namna ya kuishi? Tena kwa vita, machafuko au mauwaji. Usiseme kwa chuki tu
 
Duh yaani pro Russia mmefikia stage mishipa yenu ya aibu imekata kabisa,mnaongea upuuzi na utumbo wa hali ya juu hadharani bila aibu. Hayo majumba,mahospital na miundombinu inayopigwa mabomu kila siku wanaishi Kuku na Bata?
Tulia kijana, hiyo inaitwa collateral damage
 
Back
Top Bottom