Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,177
- 37,666
PUTIN piga popote watakapojificha tena UA kabisaaaa PIGA shenzi kabisaaaa [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
He is a narcissistic with sadist histrionic disorder .He enjoys the suffering of other people .Yupo worse than Stalin very close to Hitlers mind x.Sasa Hivi hata Hao warusi Waanze kukimbia kutoka na childhood history yake we are going to WW3 .Putin is extremely dangerous men .Kaka zake wawili w aliuliwa wakiwa wadogo na bomuA maternity ward and a children's ward have been destroyed in a Russian air strike on a hospital in the southern city of Mariupol, officials there say.
"The destruction is colossal," the city council says. There are reports of many dead and injured, with children buried under rubble. BBC.
Mwanadamu wa kawaida, hata asiye mcha Mungu, kati ya vitu ambavyo ni vigumu kwake kufanya ni kuua. Ngumu zaidi ni kumwua mtu asiye na hatia. Lakini ngumu zaidi na zaidi, ni kuwaua watoto, tena watoto wadogo.
Kwa sababu za namna yoyote ile ambayo Putin anaweza kuitoa, hakuna hata moja inayoweza kumpa uhalali wa kuwaua watoto wadogo, na wananchi wa Ukraine. Tangu mwanzo wa vita, raia wa kawaida, watoto na wagonjwa waliopo mahospitalini, wamekuwa wakiuawa na makombora ya Putin. Hii si mara ya kwanza kwa makombora ya Putin kupiga hospitali na kuwaua wagonjwa.
Tunakuomba Mungu wetu uwajalie pumziko jema la milele watoto waliouawa leo na siku zilizopita na makombora ya Russia huko Ukraine. Na pia hata watu wazima wasio na hatia yoyote ile. Lakini kwa mkono wako wenye uweza wote, tunakuomba, ukawahukumu na kuwaadhibu Russia sawa na matendo yao kwa mauaji wayafanyayo dhidi ya wanadamu wenzao.
They always die in a bunker... yule ni fashisti kamili! Zama zake zimefika mwisho ataondoka kwa aibu kuu!
Ufalme wa shetani unakusubiriaPutin ni malaika kayika umbo la binadamu.
Putin is the angel in the human body.
Amestahili hili kwa kuwa analinda warusia walio wengi.
Mataifa hamtaelewa ila ni kweli
Nakati hata huyo shetani anatamani Putin afe ili atumie vibaraka wake wabaghalibi kuutwa ulimwengu rasmiUfalme wa shetani unakusubiria
Utakua umeanza kufatilia Wamashariki baada ya mzozo huu, tena hii juzi baada ya Putin kuivamia Ukraine.Achaa conspiracy theory! Eti US walikuwa wanatafuta sababu ya kudhoofisha uchumi wa Russia. Watu kama ninyi mngeambiwa mtambue Kagera ni sehemu ya Uganda baada ya kutwaliwa na Uganda mngekubali.
Putin ni mtu kweli kweli sio kama hao binadamu wako unaoawaabudu kila siku.... USA and the like...A maternity ward and a children's ward have been destroyed in a Russian air strike on a hospital in the southern city of Mariupol, officials there say.
"The destruction is colossal," the city council says. There are reports of many dead and injured, with children buried under rubble. BBC.
Mwanadamu wa kawaida, hata asiye mcha Mungu, kati ya vitu ambavyo ni vigumu kwake kufanya ni kuua. Ngumu zaidi ni kumwua mtu asiye na hatia. Lakini ngumu zaidi na zaidi, ni kuwaua watoto, tena watoto wadogo.
Kwa sababu za namna yoyote ile ambayo Putin anaweza kuitoa, hakuna hata moja inayoweza kumpa uhalali wa kuwaua watoto wadogo, na wananchi wa Ukraine. Tangu mwanzo wa vita, raia wa kawaida, watoto na wagonjwa waliopo mahospitalini, wamekuwa wakiuawa na makombora ya Putin. Hii si mara ya kwanza kwa makombora ya Putin kupiga hospitali na kuwaua wagonjwa.
Tunakuomba Mungu wetu uwajalie pumziko jema la milele watoto waliouawa leo na siku zilizopita na makombora ya Russia huko Ukraine. Na pia hata watu wazima wasio na hatia yoyote ile. Lakini kwa mkono wako wenye uweza wote, tunakuomba, ukawahukumu na kuwaadhibu Russia sawa na matendo yao kwa mauaji wayafanyayo dhidi ya wanadamu wenzao.
Putin hata mimi simuelewi ila sometimes nahisi labda kuna jambo alifanyiwa ambalo mimi nawe hatulijui, ila hao BBC nao sio wakuwaamini sana na taarifa zao kwenye issue kama hii, wako upande wa NATO zaidi.
Sawa mwerevu kutoka mwanakwerekwe uko juu kuliko wa ukraine[emoji23]Hamna Rais Mjinga kama wa Ukraine.
Putin alikua na Matakwa mawili tu
1/Ukraine isiwe sehem ya NATO.
2/Ukraine iitambue Crimea kama sehem ta Urusi.
Alivyo mjinga, akaingia mtego wa Marekan na Ulaya...Ulaya na Marekan walikua wana tafuta sababu ya kuudhofisha uchumi wa Urusi.
Wakampa Bichwa... Ohooo tutakuunga mkono...NATO haitakuacha..
Matokeo yake akatumiwa naye akajiamin, akaanza jeuri, ohoooo Suala la NATO hatuingiliwi, ohooo Crimea ni Ukraine ohoooo vile.
PUTIN AKAANZA KUMTANDIKA.
Wamarekan wameufyata, NATO imetulia, ulaya imetulia , saizi amekua kama digidigi, wanampa moyo kwa msaada wa kijeshi.
Ndo SASA anakuja na maneno mapya..ohooo Niko tayari kuzungumzia Suala la Ukraine kutokua sehem ya NATO, ohooo Crimea pia tutazungumzia,... Sasa Warusi nao kadir vita inavyosonga wanazidi kuongeza Masharit, saizi wanamtaka ayambue majimbo ya Donbass kama nchi huru !!
Rais Mjinga aliyetumiwa bila kujijua.
Ukraine hana masilahi kwa NATO,... Marekan waliwafadhili magaidi kupambana na USSR kule Afghanistan,, wakafadhili wageorgia kupambana na Urusi. Wamefadhili tena waukraine !!.
Hivi USA na NATO wameua raia wasio na hatia nchi ngapi?
Sema hao jamaa walichofanikiwa ni propaganda za hali ya juu.
Kuna unafki mwingi SanaAanzae havumi bali amalizae,
Putin endeleza kichapo, mwaka huu ulaya zamu yenu
Pale Libya utafikiri walikuwa wanawinda swala na hakuna kelele zozote tulizozisikia
Umeharibu hapo kwa Magufuli tu!Yaani mwaka huu mmeshikwa pabaya wazungu wa kibongo. Amerika walipovamia Iraq, Libya hapo ni watakatifu. Bado Islael inauwa wapalestina kila siku hao ni Malaika ?Vita nyingi ya Africa inaletwa na hao wazungu na kuja kusomba utajili asilia wetu hatuoni. huku wakituita ngedele . Tena wana msemo wao utasikia wakisema "let's moncky kill themselves" Mimi ninaona Putin ni kama Malaika Gabriel kaja na upanga kuilinda dunia. Magufuli aliona mbali sana kwamba ni wakati wa Africa kujitegemea lakini wavivu wa upeo na kufikilia wamwona kichaa . Sasa ngoja Mungu awaletee Malaika mwenye upanga. Nasema Putin husicheke na nyani utavuna mabua.
Hayo ndiyo yaliyokulaza akili kama uliyewekewa dawa!US na NATO wakiua media za magharibi huripoti na kujadili. Wakianzisha vita kwa uongo kama Iraq media zao hufanya investigative reports. Wakiblunder kama Afghanistan hata picha tunaziona live. Hata ujinga uliofanyika Libya walitoa. Kwa anayefuatilia amesoma hizo habari.
Nenda kwenye media za Urusi, China, North Korea kama utaona faulo zao zikiripotiwa au zikijadiliwa.
Adhabu waanze kupewa marekani na nato ndio wauwaji namba moja. Sehemu nyingi wameua watu hao, nawashangaa sana nyieNime umia sana! Mungu atoe adhabu inayo tosheleza madhambi ya Rais na vigogo wenzake huko Russia
Yet... It does not justify his move. Killing innocent civilians.USA na NATO wanataka kumwekea Vinu Vya Nuclear Na Silaha Za Nuclear katika nchi ya Ukraine ambae ni Jirani Yake!!! Alikipinga kwa maneno ila hawakusikia!!! Na sasa ndio anachokipinga kwa vitendo!!!
Ameamriwa na nani!???Ni yeye pekee aliyeamriwa KUBADILI MFUMO WA KITAWALA WA DUNIA.