Nilijua unaweka cv ya pitin
Daah! Jamaa msitaarabu sana wewMbona tunawekeana mamlaka tena kwenye freedom of speech/write
Kuwa mpole if your not interested ndugu sio lazima umalize chaji yako bure kwa kucomment my friend
Mbona hatukuona unatoa comments wakati nchi huru libya, Iraq etc zikivamiwa na usa na nato . Watu wengine mmerogwa.I said from the beginning sipendi vita na huwezi halalisha Uovu kwa Uovu kwamba Marekani Aliua innocent people Iraq or Libya basi na Putin aue watu wasio na hatia Ukraine.
Kwanini unahamisha magoli, ungefungua hoja nyingine ya misaada.Kwa hiyo misaada mnayopewa hata kuingilia tamaduni zenu kama kulazimisha ndoa za jinsia moja kwako ni sawa.Ila sio sababu ya yeye Kuua watu wasio na hatia #Ukraine boss sawa sawa baba yangu shikamoo salamu toka kwa kijana wa juzi.
Kumbe ilikua miaka hiyo siku za karibuni kafanya nini kubari misaada mingi inatoka Ulaya baba yangu.
Nilidhani una nondo kumbe pumba.Sijawahi kupost kwenye hili jukwaa ila leo wacha nipost baada ya kuona agenda nyingi sana humu juu ya umwagaji damu dhidi ya raia wasio na hatia Ukraine
Sijawahi kupenda vita hata siku moja naamini vita ni hatua ya mwisho kabisa endapo njia zote za kutafuta amani zitashindikana ila Putin hakusubiri hili kwa kujiona ni mbabe akavamia Ukraine na kuanza kudondosha makombora yake.
Baada ya mazoezi ya kijeshi na ndugu yake Lukashenka jamaa anayekiri rais wa Belaraus ni Putin na yeye yupo pale kama mjumbe Putin alikana na kusema ni mazoezi ya kawaida na kusema hana mpango wa kuivamia Ukraine ila suddenly akaanza kuvurumisha Skander zake kule.
Tutambue Ukraine ni nchi huru kamili like Tanzania ana mamlaka kamili ya kufanya maamuzi yake bila kuingiliwa na nchi yoyote ana mamlaka ya kujiunga na Jumuiya yoyote hata akitaka East African Community bila kusumbuliwa na ana mamlaka ya kuchagua Nchi/Mataifa anayotaka kushirikiana nayo.
Sasa ajabu inakuja pale Putin anapotaka kuifanya Ukraine kama mkoa wake au kama Belarus manake Belarus ni kama mkoa wa Putin, Sidhani kama nchi zilizokua zinaunda Soviet zilipiga kura na Kumchagua Putin kuwa rais wao au chief wao no kila nchi ina rais wake na mamlaka kamili
Who is Putin hii vita sio ya Warusia bali ni Vita ya Putin na baadhi ya makamanda wake kwa maslahi yake binafsi propaganda zake ni very weak anataka kutoa Unazi Ukraine na kuharibu uwezo wake wa kijeshi a very cheap propaganda kwenye hii dunia ya Kistaarabu
Putin amekosa ustaarabu anamaliza watoto na wamama wasio na hatia pale Ukraine amebaki kupiga shule, Hospitali viwanja vya mpira, makanisa, nyumba za michezo ya kitamaduni Makombora keshatoka kwenye fake propaganda zake.
Ishu kubwa naya msingi ni kutaka kumtoa rais wa sasa wa #Ukraine baada ya kukataa kuwa kibaraka wake kama Lukashenka.
Binafsi niwape hongera NATO kwa kuamua kukaa mbali na hii vita wamefanya busara za msingi sana ila humu kuna watu kazi yako kuchochea vita mkitaka kujua ubaya wa Vita waaulizeni wanafunzi wa Tanzania waliokua Ukraine.
Kila mtu kwa imani yake aombe kwa ajili ya Amani ya ulimwengu, Tuwaombee Ukraine dhidi ya uvamizi haramu wa Putin na pia Tumwombe Putin.
Sawa Mh spika njoo basi wewe na Nondo zako I myself ninaandika ninachokiona na sio Propanganda Ndugu yenu kabaki kuua watoto na wamama from the beginning nimesema Mimi sio mfuasi wa vita ninaamini katika mazungumzoNilidhani una nondo kumbe pumba.
Kachukue dollars 2 ubalozini umetimiza walichokutuma.
Ila waambie umefeli
👍Kabla RT/Russia Today haijapigwa Pin nimefwatilia sana Kaka mkubwa
Na Putin amekataa hayo ?Kama umenielewa bila kuangalia Propaganda sipendi vita manake wanaoteseka ni watu wengine kabisa regardless of blah blah from both sides bado kulikua na room ya Kusolve huu mgogoro kwa njia za kiungwana/diplomasia.
Tambua Vita havina macho wanakufa innocent people kabisa.
Umenikumbusha mtoto wa dada yangu alikuwa Kharkivi kuna mahali alitembea umbali wa kilomita 80 baada ya kuchuka mji wa Liviv ndio akapitia Poland ndio akaja Tanzania tusiombee vita.Alifika miguu imevimba ajili ya kutembeaSijawahi kupost kwenye hili jukwaa ila leo wacha nipost baada ya kuona agenda nyingi sana humu juu ya umwagaji damu dhidi ya raia wasio na hatia Ukraine