Recent content by vagarantTz

  1. vagarantTz

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti shule binafsi: Ada elekezi kwa shule binafsi ni kiini macho

    Nchi hii inaendeshwa na sheria za nchi..wizara ya elimu imepewa agizo ..nayo imelitangaza..sasa..ili uweze kufanya hyo biashara..basi huna budi kufanya..kama sheria inavyo agiza...bei elekezi lazima ifatwe...shule za serikali..elimu bure..mpaka kidato cha nne...wao wamepewa bei elekezi...sasa...
  2. vagarantTz

    JamiiForums Tanzania Wanaume tunateswa sana na mabinti tukiwa masomoni

    achana na story za mahusiano ...nenda kanunue malaya maliza haja yako rudi chuo piga book....mahusiano yatakukost......zingatia
  3. vagarantTz

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wako kuota anafanya mapenzi na mtu mwingine

    usiumize kichwa mwambie na wewe umeota una fanya mapenzi na mwanamke mwingine mzuri ile mbaya ...sasa kakuganda anataka umuoe....
  4. vagarantTz

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa mbunge ni milioni 3.8 kwa mwezi, Posho ya Ubunge ni..

    ikiwa tumetaka mabadiliko mabadiliko ni mimi na wewe kuna ubaya gani ikiwa wabunge watapunguziwa posho ...ili kuwe na uwiano baina ya walio nacho na wasio nacho ipo haja ya kupunguza hizo posho zao...pili hiki ni kipindi cha mh..Rais kupunguza matumizi mabaya ya fedha ...kila idara ...ili tuweze...
  5. vagarantTz

    JamiiForums Tanzania Wana JF: Je hawa watu ni matapeli? Naomba usome unipe mawazo nini nifanye!

    hao ni wababaishaji sasa kama kazi ni za ulinzi mbn hata hapa zp ndio uzifate qatar...achana nao
  6. vagarantTz

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka 7 auawa kinyama, alawitiwa na kunyongwa kisha kutupwa kisimani

    sheria ifate mkondo wake kama amekutwa amenyongwa ..basi huyo alietenda hvyo alikusudia....
  7. vagarantTz

    JamiiForums Tanzania Ndugu aua mdogo wake baada ya kumkuta akijamiana na nguruwe

    hii ni mbaya sana kuchukua sheria mkononi ila dogo nae alifanya mbaya zaid....
  8. vagarantTz

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

    kweli kwa uteuzi huu nimeamin hapa kazi itakuwepo...Tunataka kiongozi ambaye ataendana na kasi ...hii ...
  9. vagarantTz

    JamiiForums Tanzania Huyu Dereva tax atanivunjia ndoa yangu, nifanyeje?

    mpe tena...mpk jamaa yako akitulia nawe tulia
  10. vagarantTz

    JamiiForums Tanzania Alikiba Afunguka kuhusu tuzo za Afrimma, asema pesa nyingi zilitumika kupambana nae..!

    za wapi hzo kiba keep moving acha story
  11. vagarantTz

    JamiiForums Tanzania Kubadili majina inakuwa na maana gani?

    rhodesia =zimbabwe
  12. vagarantTz

    JamiiForums Tanzania Afande Mpinga, pt 3559 iko hapa Mwenge inakusanya 5000/10000 bila aibu...

    mpigi picha hyo kisha ipost ...
  13. vagarantTz

    JamiiForums Tanzania Nimemkopesha pesa, baada ya kunipa penzi kagoma kunilipa

    ok kwanza kanunue kisu kanunue shoka kanunue panga.kanunue mkuki...akija jamaa kumchukua mke wake...muombe samahan unataka kuongea nae akikubali muambie...nimenunua mkukk nimenunua shoka nimenunua kisu nimenunua panga..halafu mwambie ninetembea na mke wako...hv vitu ni hyar yako ktk kutoa hukum...
  14. vagarantTz

    JamiiForums Tanzania Hili la stendi kuu Ubungo hadi lini?

    Stendi kuu ya mabasi ubungo kuna mambo ya ajab sana ili uingie ukasafiri lazima ulipe kiingilio pale getin lakin huko ndani haswa kipindi hiki cha mvua mvua ni pachafu sana matope..hakuna vyoo vya kutosha vilivyopo ni vichafu sana ...mara unaaeza ona chupa za maji zenye mikojo...yaan..mpk...
  15. vagarantTz

    JamiiForums Tanzania Hili la stendi kuu Ubungo hadi lini?

    Stendi kuu ya mabasi ubungo kuna kiingilio pale getini lakini kule ndani mazingira siyo rafiki kabisa na abiria na mvua hzi ndio balaa kabisa matope yaani ni pachafu sana sijui hizi hela huwa wanachukua kwa ajili ya nini? Ikiwa hawawathamini hao waleta pesa ambao ni abiria, kuna vibanda humo...
Back
Top Bottom