Recent content by v4c

  1. V

    Msiba

    hapana mkuu mzee anaitwa Thobias mlowa, ni tegeta maeneo ya msikitini, ila ahsante sana mkuu
  2. V

    Msiba

    ahsante sana mkuu, msiba upo Tegeta( dar es salaam) nitakujulisha utaratibu mkuu
  3. V

    Msiba

    Wakuu, Machi 29 niliweka habari hapa ya kuomba msaada wa kujua Daktari Bingwa ambaye angeweza kuwa msaada kumtibu baba yetu - https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/425631-msaada-wa-daktari-bingwa.html?highlight=. Nasikitika sana yule baba yetu huyo kafariki baada ya kumpeleka Muhimibili kwa...
  4. V

    Msaada wa Daktari Bingwa

    Ahsante sana mkuu, ila ukinipm namba yake itakuwa vizuri zaidi mh.
  5. V

    Msaada wa Daktari Bingwa

    Ahsante sana mkuu, tumempeleka leo asubuhi muhimbili wamemuwekea dripu wamemlaza, ila me ni mgeni kidogo pale muhimbili fast track ndio sehemu gani hapo
  6. V

    Msaada wa Daktari Bingwa

    ahsante kwa ushauri mkuu, tupo dar mkuu
  7. V

    Msaada wa Daktari Bingwa

    Ahsante sana mkuu preta
  8. V

    Msaada wa Daktari Bingwa

    Wakuu tuna baba yetu anatatizo la kuvimba miguu na tumbo kujaa na moyo unamatatizo pia hali kabisa chakula, sasa tumepima hospital wamesema figo zinamatatizo pia tumboni kumejaa maji so inabidi tukanyonye hayo hospital, sasa kama kuna mtu anamfahamu dokta ambaye ni bingwa kwa mambo hayo na...
  9. V

    Kwa ubunifu huu....CHADEMA Itaweza kutoa elimu bure katika ngazi zote

    Mkuu hapo hujaweka kwenye vocha za simu kila mtu achangie sh 50 alafu kwenye mpesa, tigo pesa na airtel money kila mtu akitoa na kuweka achangie sh 100 undhani haiwezekani aisee
  10. V

    CHADEMA yatikisa Mwanza, Furahisha pamekucha

    Chezea CDM weye, twanga kote kote mpaka kieleweke
  11. V

    Juliana Shonza amlipua Mbowe

    Mkuu nimeipenda sana hii
  12. V

    UAMSHO ina watu wake ndani ya SMZ

    Me naona inabidi tupeleke makomandoo wa israel huko z'bar ili wafanye upelelezi maana hawa wa........! Wanatuchezea sana
  13. V

    UAMSHO ina watu wake ndani ya SMZ

    mkuu me naona tulete makomandoo wa israel ili waje kufanya upelelezi huko z'bar maana naona wamezd kutuchezea
  14. V

    Kawambwa, Kilichowafelisha Kidato cha Nne ni Hiki Hapa

    mkuu umenena kweli aisee, alafu ninamashaka na udokta wa kawambwa
Back
Top Bottom