Recent content by V Kweli Tupu

  1. V Kweli Tupu

    Msaada wa kuzuia harufu inayoingia ndani kutoka kwenye tanki la maji machafu

    Solution ni kumwita fundi kuangalia tatizo ili atengeneze. Humu wengine tutakucharura tu maana tuna dhiki na huzuni zetu, tunataka tucheke [emoji23][emoji23]
  2. V Kweli Tupu

    Msaada wa kuzuia harufu inayoingia ndani kutoka kwenye tanki la maji machafu

    Have some sense of humour. Sometimes we can have a laugh. Vipi ndugu kwani hasiyekunya nani? It was just for a laugh to cheer each other up!
  3. V Kweli Tupu

    Ona jinsi Israel ilivyoichafua na kuibana mbavu Palestina

    Tafsiri ni sahihi, wacha ujinga! Kwani quran si lugha ya kiarabu tu? Kwanini mnafanya kama lugha hosiyo tafsirika wajinga nyiye?
  4. V Kweli Tupu

    Ona jinsi Israel ilivyoichafua na kuibana mbavu Palestina

    Wafilisti siyo wapalestina. Wapalestina ni waarabu wavamizi kama jinsi Wamisri wa sasa ni waarabu wavamizi. Wamisri wa zamani walikuwa weusi.
  5. V Kweli Tupu

    Ona jinsi Israel ilivyoichafua na kuibana mbavu Palestina

    Sahihi kabisa. Sijui kwanini ndugu zetu wanashindwa kutumia akili. Muddy alikuwa msanii tu!
  6. V Kweli Tupu

    2020 Bunge litakumbukwa kwa vituko vya Wabunge; akina Mwambe, Lijualikali na Halima Mdee. Pia, Wabunge watatu kufariki mfululizo!

    Bunge la vichekesho, jifunzeni maana ya bunge kwa jirani Kenya na kwa waingereza mnaowaita mabeberu!
  7. V Kweli Tupu

    2020 Bunge litakumbukwa kwa vituko vya Wabunge; akina Mwambe, Lijualikali na Halima Mdee. Pia, Wabunge watatu kufariki mfululizo!

    Spika na naibu wote ccm, 95% ya wabunge ni ccm alafu tuseme kuna bunge TZ!?
  8. V Kweli Tupu

    Airtel Money huduma mbovu sana, haya mmeondoa kipendele cha kuongea na muhudumu kimya kimya

    Waambie hao wajinga hawaelewi mambo yanavyokwenda. Wanapenda kulalamika lalamika tu. Sent from my SM-G981B using JamiiForums mobile app
  9. V Kweli Tupu

    Nani atakuwa mbadala wa Maalim Seif kwa Siasa za Upinzani upande wa Zanzibar?

    Tanzania kuna upinzani uchwara. Kazi ya upinzani imekuwa kutisha, kupinga, kutukana, kuongea hovyohovyo, siasa za chuki, kutokuaminika, kununuliwa, kutokuwa na msimamo, kutokuwapo kwa ustaarabu na kutia watu hofu. Approach ya upinzani katika siasa ni mbovu ndiyo maana wanaifanya ccm iwe...
  10. V Kweli Tupu

    GE2020 Jumuiya ya Madola yatoa taarifa rasmi kusikitishwa na yaliyotokea Tanzania kipindi cha uchaguzi mkuu ikiwemo udanganyifu na mauaji

    End of the day, kiongozi anayetufaa katika taifa hili la Tanzania kwa kipindi hichi ni Magufuli tuu, wengine wataturudisha nyuma.
  11. V Kweli Tupu

    Watanzania tumuombee sana Lissu

    Kwa akili yako, basi upinzani wote duniani haufai, sivyo? Sababu ya Magufuli kutengeneza reli, kununua ndege, kutengeneza barabara, kugundua wafanyakazi hewa, kupambana na ufisadi, n.k. ni kutokana na shinikizo la upinzani. Kama upinzani husingekuwepo wa wakina Lissu, Mbowe na Zitto ccm hisinge...
  12. V Kweli Tupu

    Watanzania tumuombee sana Lissu

    Boya kivipi punda wewe?
Back
Top Bottom