Recent content by uzolelanga

  1. U

    JamiiForums Tanzania Nimefanya mapenzi na boss wangu, sijatosheka kabisa

    Umenikumbusha mmoja ivi maana nafanya nao kazi hao watu aseee acha tu, nilimuacha baada ya kusema nimuoe na mm nimeamua kua single faza, tangu apo siwataki tena ila ukweli ni kwamba manesi wanafanya vzr kuanzia usafi na wengi ni wazuri sana km uyu ninae mzungumzia ni shida.
  2. U

    JamiiForums Tanzania Natafuta mitindo ya shati la kitenge

    Nawasalimu kwa jina la JMT, wakuu poleni kwa yaliotukia kuhusu mwaka mpya wa serikali naamini mama ameyasikia na watayafanyia kazi. Wakuu kwa heshima na taadhima naomba mnisaidie kupata mitindo mizuri ya shati la kitenge maana ninataka kushona hii kitu maana nimetokea kuvutiwa nayo. Thanks in...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Picha za mishono mbalimbali ya vitenge

    Wakuu mm nataka type za mashati ya vitenge na haswa dizain za urembo wa mbele naomba mnisaidie
  4. U

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anapitia wakati mgumu sana hadi nimemuonea huruma

    Kwenye kikao cha mwisho tulikubaliana kwamba mwanamke akicheat na ukajihakikishia huo ndio unakua mwisho wa ndoa, kwa undezi huu subir kufa kwa HIV pia kulea watoto wasio wakwako, pambafu we, swine. Singo faza fo laifu.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Ni Miss Tanzania yupi uliyemuelewa na unayemkubali?

    Yuko wapi uyu mtoto mzr wakuu
  6. U

    JamiiForums Tanzania Am in love with church girl

    Upon vzr mkuu izi movies zote nimeziangalia kwakweli unajua muvi mzr kaka hata mm nazipenda hasa iyo uliyoielezea apo duuuh yule manzi sio wa nchi hii mweee!
  7. U

    JamiiForums Tanzania Zelensky: Tumewapa hasara kubwa hurusi

    Logistic!!! Wengine nendeni shule kwanza mnatusumbua umu
  8. U

    JamiiForums Tanzania Nimeishi Urusi najua Tamaduni zake, pamoja na Ukubwa wa Jeshi lake Rushwa ndiyo inawafanya wasikamilishe malengo kwa muda

    Bro acha kuamini war propaganda USA wenyewe walitoa takwimu kuonyesha Russia aijatumia hata 20% ya nguvu zake kijeshi kwahyo acha kuwatukana Russia sio mchezo bro, remind u Russia ana silaha za nuclear nyingi kuliko nchi yoyote duniani.
  9. U

    JamiiForums Tanzania Nimeishi Urusi najua Tamaduni zake, pamoja na Ukubwa wa Jeshi lake Rushwa ndiyo inawafanya wasikamilishe malengo kwa muda

    Tena tandahimba sio mjini in namikupa kwanganyama
  10. U

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa tuliowahi kufanya mapenzi na binamu au ndugu zetu wa karibu

    Naona huu Uzi ni derivatives za ule wa riki boy. Kwanza naoma mnisamehe bure wajuba maana hii kitu kwakweli ata mm inaniumiza sana nikikumbuka. Miaka hyoo npo A level nimerudi kitaa likizo nikamkuta mtoto was bibi mdogo kaja nae likizo kwa bibi yetu ambapo mm pia ndio naishi apo, sasa kukaa cku...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu alikuwa akifanya maongezi ya ngono na majirani nikamuadhibu hivi

    Mkuu wewe utakua una shida flan sio bure
  12. U

    JamiiForums Tanzania Jamaa nimemsamehe kwa ukweli wake mchungu. Mke wangu simuelewi

    Mkiambiwa msioe amtaki kuckia, haya
  13. U

    JamiiForums Tanzania Dada, ukitaka Wanaume handsome njoo Kusini/Masasi

    Umetaja na Capetown kabisa, daaah!!!
Back
Top Bottom