Recent content by uyungeni

  1. uyungeni

    JamiiForums Tanzania Fumbo la Eden! Nani aliwaambia wako uchi?

    Adam aliumbwa mzima kisha akapewa pumzi lakin Hawa alifanywa/aliumbwa kutoka ubavu wa adam
  2. uyungeni

    JamiiForums Tanzania Safari ya Lissu kuelekea Nairobi ilikuwa ni mateso na vilio, Spika Ndugai usitoneshe vidonda

    Malipo Huwa Ni hapa hapa duniani,,,, Mungu alisema Lissu hatakufa...wanaumbuka haooo
  3. uyungeni

    JamiiForums Tanzania Safari ya Lissu kuelekea Nairobi ilikuwa ni mateso na vilio, Spika Ndugai usitoneshe vidonda

    Hata asipoenda kumsalimia Lissu , tunaimani jembe letu litapona tuuu. Akae kwake afanye yake
  4. uyungeni

    JamiiForums Tanzania Huyu Mzee Matonya aliyepata msamaha wa Rais ni nani na alifanya kosa gani?

    Katiba katiba inatakiwa
  5. uyungeni

    JamiiForums Tanzania Nini dawa ya mwanamke anayekutukana mara kwa mara?

    Huenda hiyo nyumba kajenga yeye, Kama umeijenga mtimue...haiweezekani utukanwe afu ww ujitetee... Akianza matusi yake komaa nae hadi anyamaze.... ningekuwa Mimi angelamba makofi
  6. uyungeni

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mhe Tundu Lissu akiwa hospitalini Nairobi, Kenya anakoendelea kupata matibabu

    Heshima Na utukufu Ni ww ee Mungu wa Mbingu Na nchi...mponye haraka Mh Tundu Lissu ili Kila mmoja akutukuze Kwa uweza wako: amen
  7. uyungeni

    JamiiForums Tanzania Wameuawa Polisi 10 Viongozi wa vijiji 30 na Raia 3 huko Kibiti,Ikwiriri na Mkuranga..Wanaharakati kimyaaa!

    Hatuna police wanaoweza kufuatlia ya Lissu ila wapo wanaozuia watu usiongee wasiandamane
  8. uyungeni

    JamiiForums Tanzania Asante ITV kwa kuonesha ibada ya kumuombea Lissu

    Mawazo gan ya kijinga? Eleweka.....huenda ukawa ww ndo unajitukana barafu ya moto
  9. uyungeni

    JamiiForums Tanzania Wote tumesema kuhusu Tundu Lissu lakini kwa huu wimbo wa Aslay katuzidi!

    Kunausemi unasema tuiombee serikali iendelee kutenda vzur,.....mbona albadili inapigwa Vita...serikali tuiombee tukiwa wapi? Nyumbani au kanisani? Nimeota tuuu wadau
  10. uyungeni

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Waziri Mkuu aungana na Rais Magufuli kumuombea Tundu Lissu

    Hakuna lolote.... Lissu atapona tu
Back
Top Bottom