Recent content by Uyui444

  1. U

    JamiiForums Tanzania Foleni kali tokea Bagamoyo road kutokea Mwenge; Je, aliyeweka rasta na matuta mapya akapimwe akili?

    Kwanza hawajaweka kibao kwamba kuna matuta ya kashata sijui.Halafu walivyojenga hiyo barabara Tanroad kwa nini hakiwawekea mazingira rafiki pale na wanajeshi nao kwa kupenda short cut wazunguke bwana wasitutese watumiaji wengine allaaa
  2. U

    JamiiForums Tanzania Ukraine yasema imekomboa eneo zima la Kyiv

    Sio.kweli,Urusi kwanza.mawasiliona.ya wanajeshi wao na makamanda yalikatwa ndani ya Ukraine,kwa hiyo wakakosa mawasiliano na jeshi haliwezi kutumia mawasiano ya adui.Chakula pia kiwaishia hambacho ikawa hatari kwani jeshi la urusi lilipewa chakula cha kutumia kwa.mwezi so replenishment ikawa...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Ujasiri wa Zelensky na Umoja wa Waukrain Vimeisaidia sana Ukrain Kutotekwa na Urusi Mapema

    Hamna kitu Putin hata kwenye TV hatokei tena anamtuma waziri sijui mkuu wa ulinzi haamini mpaka leo hajampata Zelensky
  4. U

    JamiiForums Tanzania Kati ya watumishi wa Mungu wenye majina makubwa na wanaoonekana kwenye TV, hakuna hata mmoja aliyetabiri kinagaubaga vita ya Ukraine.

    Kuna mmoja anajiita nabii wa ishara tanzania alitabiri ukimgugo utaona na alisema mara mbili kabla ya vita
  5. U

    JamiiForums Tanzania Ulaya yakataa kununua gesi ya Urusi kwa sarafu ya taifa hilo

    Kweli kabisa lazima pumzi imuishie
  6. U

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mbabe wapi siku 30 hana pumzi mimi nilikiwa namwamni kumbe Zelensky anamtoa jasho hivyo duu kumbe Russia ni kaput akajipqnge upya
  7. U

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Weee Poland ni NATO na EU hawezi kigusa weee
  8. U

    JamiiForums Tanzania Rais Putin: Russia haitapokea Dollars wala Euros kwa mauzo ya gesi Ulaya badala yake watapokea Roubles tu

    Mimi naona hii vita ya Russia mmarekani anaifurahia na anaangalia miaka 4 mpaka 10 ijayo ku idissolve Russia kiuchumi kwa kutumia vikwazo and eventually watakuwa hawana nguvu ya kijeshi watakuwa busy kurudi kwenye system ya dunia.Mark my words
  9. U

    JamiiForums Tanzania Rais Putin: Russia haitapokea Dollars wala Euros kwa mauzo ya gesi Ulaya badala yake watapokea Roubles tu

    Ni kweli kwa sasa uwezi kuishi dunia yako peke yako binadamu wote tunategemeana baada ya muda ata suffocate
  10. U

    JamiiForums Tanzania Mbowe ni mkanda na mkabila, hafai kuwa kiongozi hata kiduchu. Watanzania wamkatae na CHADEMA yake

    wasukuma mnahangaika sana hamuamini ngosha kamaliza one year tu mambo yamebadilika na bado mbona leo tu musiba alikuwa analia
  11. U

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Vita ya kiuchumi ni mbaya sana ,nimesema ikifika June Russia kutakuwa worse than ukraine. Silaha sio chakula
  12. U

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Bado ,hawataki kunijibu wewe waache nawasubiri waje kutengeneza linguzo Lao ndani ya nyumba yangu akia nani bora nikose umeme mwezi ila wataniomba pooo
  13. U

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Putin soon ata surrender ingawa tunaona kuwa ameweza kuipiga Ukraine ila ndani ya .nchi kama China hatamsaidia vikwazo vinamwumiza zaidi kuliko wa Ukraine kupigwa.Ikifika mwezi wa sita Putin atakosa mpaka mishahara ya kulipa kwani hatakuwa amefika mwisho.Hapo ndipo utakapojua issue sio kuwa na...
  14. U

    JamiiForums Tanzania BASATA waweka wazi Nominations za Tanzania Music Awards. Ali Kiba Aongoza

    Hizi tuzo kuandaliwa na Basata ni sawa tu.Kwenye maandalizi ya tuzo huwa kunatangazwa Categories na wasanii wenyewe hupeleka kazi zao kwenye hizo Categories na sio muandaaji so waandaaji huchagua ama zote au huchambua kazi zilizofikia vigezo them sasa hutoa hadharani na kusikia opinions za watu...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Chato: Yaliyojiri katika Maadhimisho ya mwaka 1 wa kifo cha Hayati Magufuli. Kasala, tusimamie ukweli na haki. Samia kuendeleza Mema

    Sijaongelea mambo ya kifamilia nimeongea kama mwananchi wa kawaida nileyeona ,kusikia na kushuhudia yaliyotokea na yaliyopo sasa na yanayoendelea
Back
Top Bottom