Recent content by Uyanjo family

  1. Uyanjo family

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

  2. Uyanjo family

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Chato ni marufuku wagombea wa CHADEMA kupewa fomu za uchaguzi wa mtaa. Ni ‘maagizo toka juu’

    Wapigwe tuu maana hakuna namna!! Eeh wapigwe tu si hawataki kutoa, wapigwe tuu hakuna namna!!
  3. Uyanjo family

    JamiiForums Tanzania Tunaotafuta Kazi Tanzania Intelligence and Security Service (TISS) Tukutane Hapa

    Na sisi wa mwenda kulima huku lini nyota itatoka mashariki kuelekea magharibi
  4. Uyanjo family

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Vita ya Marekani imetua Florida Muda huu baada ya kukaa angani kwa muda mrefu ikirekodi hali ya usalama wa Taifa

    Akiinunua mapokezi yake yataandaliwa mwaka mmoja kabla
  5. Uyanjo family

    JamiiForums Tanzania Sehemu ambazo CAG haruhusiwi kusogelea: ATCL na Wakala wa Barabara - TANROADS. Unajua kwa nini?

    Duuuh naumia hadi natamani kupasuka
  6. Uyanjo family

    JamiiForums Tanzania Nimerudi tena hapa kuomba msaada wa kazi bado sijakata tamaa

    Una uwezo wa kutumia taily software?
  7. Uyanjo family

    JamiiForums Tanzania Walimu au ndege?

    Hiii mmmh
  8. Uyanjo family

    JamiiForums Tanzania Huu udhalilishaji wa matajiri kwa wafanyakazi wao utaisha lini?

    Jamaniii duuu!!!!
  9. Uyanjo family

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha: Eti dawa ya wanaosomeshwa imepatikana...

    Ahsante nimepona ndugu yangu ila maumivu huwa hayakomi
  10. Uyanjo family

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha: Eti dawa ya wanaosomeshwa imepatikana...

    Hivi mkuu unajuwa kuwa upendo mda mwingine unahitaji gharma na haiwezekani kumwacha mtu unaetegemea kesho awe part ya mwili wako, labda uwe unafanya utani kwenye reply zako mkuu. Hatuwasomeshi kwa kujipendekeza isipokuwa tunakuwa na maono ya mbali sana sema tu ndio hivyo tunafundishwa ugaidi...
  11. Uyanjo family

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha: Eti dawa ya wanaosomeshwa imepatikana...

    Watu kama hawa wasioelewa huwa sipati shida nao kwa sababu shule za kata zimeharibu watu, hawataki kwenda baharini wanishia Mtera
  12. Uyanjo family

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha: Eti dawa ya wanaosomeshwa imepatikana...

    Unahisi kwamba nilienda kuomba wafukuzwe kazi et! Usifikirie mbinu moja hata wewe na kada yako unaweza kutengenezewa move na ukapewa red kadi
  13. Uyanjo family

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha: Eti dawa ya wanaosomeshwa imepatikana...

    Hahahahhaha ahsante maana si lazima uelewe
  14. Uyanjo family

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha: Eti dawa ya wanaosomeshwa imepatikana...

    Hapana mie ni mwananzengo mwenye marafiki kibao
  15. Uyanjo family

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha: Eti dawa ya wanaosomeshwa imepatikana...

    🙏🙏🙏🙏
Back
Top Bottom