asante sana kwa majibu yako mazuri ila kaomba msamaha kweli sana tena ameshika hadi kuruani kuapa kuwa huyo jamaa hata zamani hajatembea naye ila alikuwa anamtaka sana ila waliwasiliana jumbe nyingi za mapenzi ila ameomba msamaha na amesem hatorudia tena kufanya mawasiliano naye na hata...
Wadau nataka taabya mbele kubwa ya spacio new model upande wa kushoto,bampa la mbele zima,side mirrow kushoto, kioo cha mbele na kijioo kile kidogo cha kushoto.
KAMA UKO UNAWEZA PATA NITAFUTE NIKUPATIE PESA
Wadau ukigundua mkeo ulioko naye sasa alikusaliti wakati mkiwa wachumba na ukagundua huyo aliyeku-cheat naye wanaendelea na mawasiliano japokuwa wako mikoa tofauti na wewe mume muko na watoto UTAFANYA MAAMUZI YAPI
pamoja na huyo mkeo kuomba msamaha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.