Recent content by uwiii

  1. U

    JamiiForums Tanzania Farcial wrinkles!

    Elezea kidogo.Hiyo aloevera gel ipoje?
  2. U

    JamiiForums Tanzania Ni tatizo gani la afya?

    Habari wanajamii forum! Mimi ni binti wa miaka 27.Tatizo langu ni siku zangu za hedhi.Mwanzo sikuwa na tatizo la kupata siku zangu lakini mwezi uliopita sijaelewa nimepatwa na tatizo gani.Ilikuwa nianze kupata period tarehe 23/06 lkn nikaanza tarehe 22/06.Sasa tatizo ni kwamba damu inayotoka...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Sijui nimenusurika!!!!

    Mbona munawaonea waoaji?
  4. U

    JamiiForums Tanzania NImeanza kutowaamini PSRS/Utumishi/Ajira

    Interview yoyote ile ili kuleta ushindani,msailiwa akiwa mmoja hawezi kupatiwa nafasi hiyo.Ni lazima itangazwe upya.Sasa kama kuna mtu aliajiriwa na hakuwa interviewed au haikutangazwa tena hayo ni mambo mengine.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Mnyika huwezi vita binafsi na Kikwete

    Hivi wewe ni mvivu kufikiri au niamini unajibembeleza kwa JK ili upate cheo kabla hajaondoka pale magogoni?Udhaifu alionao JK na uupuzi wa serikali ya CCM unaoneka hata kwenye giza tororo la saa nane usiku bila hata kutumia darubini!
  6. U

    JamiiForums Tanzania NBAA result for May 2012 are out

    Wapi examiner's report?
  7. U

    JamiiForums Tanzania NBAA result for May 2012 are out

    Ndiyo ujue kizazi hiki vichwa vimejaa maji tu!
  8. U

    JamiiForums Tanzania NBAA result for May 2012 are out

    Tatizo siyo NBAA,ni hivyo vyuo vyenu visivyo serious.Watu wangekuwa wamesoma vizuri sylabus ya chuo hapo isingekuwa kazi kutoka!
  9. U

    JamiiForums Tanzania NBAA result for May 2012 are out

    Nani akukomoe na alihali hukusoma?Hapo ni baada ya moderation kufanyika!
  10. U

    JamiiForums Tanzania Dr. Ulimboka: Hali ya afya (Updates)

    Umetumwa nini?
  11. U

    JamiiForums Tanzania Mbowe, Zitto, Mnyika, Tundu tusaidieni vijana kulizungumzia hili

    Mimi sitaki kuamini hilo kabisaaaa!Kuna watu wanapata kazi bila kufahamiana na mtu wala kuwa na cha njano kupitia taasisi hiyo.Nafikiri mimi(Bado ni nasaka job) na wewe tujipange tu upya,tutapata tu siku moja hizo nafasi na sisi.
  12. U

    JamiiForums Tanzania Kazi za rural energy agency

    Ni kweli eeh?
  13. U

    JamiiForums Tanzania Serikali Kutoa kauli Kuhusu Mgomo wa Madaktari kesho

    Naunga mkona hoja.Ajiuzuru tu,ni kama yupo msukuleni vile!
  14. U

    JamiiForums Tanzania Ladies, why?...!

    nakushauri usibishe hodi huko ili kuondoa mashaka yako.Bora uendelee kuwa hivyo hivyo!Uoga wako ndiyo umasikini wako!
Back
Top Bottom