Kazi za rural energy agency | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kazi za rural energy agency

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by AMAFUMU, Jun 28, 2012.

 1. AMAFUMU

  AMAFUMU JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 220
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  wadau......ni mwezi may.....hawajamaa walitoa nafasi za kazi.....lakini hadi sasa sijapata kujua.....kama wameishaita interview.....kwa mwenye taarifa wakuu......!
   
 2. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  hata mimi nasubiria nahisi nafasi zilishajazwa zamani
   
 3. AMAFUMU

  AMAFUMU JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 220
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  hahahahahahahahaha........jamaa wapo kimya sana......ngoja tujipe muda.......na vipi hawa muhimbili nao kunakipindi walitoa.........sijui ulikuwa wa pili ule......unadata zozote?
   
 4. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #4
  Jun 28, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  poleni sana!
  Ukiapply
  potezea
  vinginevyo
  utayafanya
  maisha
  yako
  yawe
  magumu
  tu.
   
 5. u

  uwiii Member

  #5
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli eeh?
   
 6. MAUBIG

  MAUBIG JF-Expert Member

  #6
  Jun 28, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 972
  Likes Received: 536
  Trophy Points: 180
  jamaa yuko right, cha msingi na sekondari ni kupotezea maana waweza kufa kwa presha
   
 7. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #7
  Jun 28, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  kweli mkuu
  mengi sana yanaendelea behind the scene!

  Kama hapo REA kuna mtu namfahamu, kafanya internship miezi mitatu na bado wamemtosa.
   
Loading...