Recent content by uwezo

  1. U

    Msaada jinsi ya kuondoa ARENA FILE extension

    Ndugu wana bodi kompyuta yangu imevamiwa na ramsoware (kama sijakosea) na file zote katika mfumo wa pdf doc xls zimebadilika extension na hivyo kutosomeka kama ilivyo kawaida.Naleta kwenu ombi la kusaidiwa maarifa namna ya kukabiliana na tatizo hili. Natamguliza shukurani.
  2. U

    Deus Mallya Ajiunga na ACT Wazalendo

    Umenichekesha sana
  3. U

    Nauza Plwood zenye unene wa 3mm, 6mm, 9mm na 12mm

    Wadau Kwa wenye mahitaji ya PlyWood imara na zenye ubora wa hali ya juu kutoka wilayani Moshi. Mzigo ni mkubwa sana na utafikishiwa mkoa /wilaya yeyote ulipo. Kwa mawasiliano zaidi tupigie simu namba +255753304938 +255658464977
  4. U

    Hasara za kumsomesha mchumba au kuwekeza pesa nyingi sana kwa mchumba

    deepsea Punguza jazba we jamaa hebu funguka bro kilimpata nini?
  5. U

    Je, wajua? - Special Thread

    Hii kali sana ndio najua leo hii
  6. U

    Unapokuwa tayari kuingia kwenye Ujasiriamali, Fanya vitu hivi vitano

    Asante sana kwa somo lenye manufaa kwa kiasi kikubwa.Ubarikiwe
Back
Top Bottom