Recent content by uvumbuzi

  1. U

    Rais Magufuli hata upambane kiasi gani, bila kuliweka sawa hili ni Kazi bure

    Kwani nchi haina katiba?Kama hujawahi kuiona katiba nenda KWA spika atakupa hata nakala moja.
  2. U

    Je, ilikuwaje pale ulipogonganisha wapenzi na wakajuana?

    Nawaza angekuja huko huko maeneo ya chooni nadhani ungepasuka
  3. U

    Picha: Mwigulu Nchemba zamani akiwa anachunga ng'ombe, huwezi amini

    Hiyo Picha ulikoelekeza mshale siye Bali ni yule Dogo kulia.Hata ya FB ni tofauti na ya humu jf.
  4. U

    Picha: Mwigulu Nchemba zamani akiwa anachunga ng'ombe, huwezi amini

    Hata sasa ni rasta japo amejizuia kidogo kuachia nywere.
  5. U

    Kwanini Wana CHADEMA ni wabishi sana? Huu ukweli huupinga!

    Hapo umewasilisha taarifa sahihi kabisa, ila wengi wa wanachadema wanadosari akilini waliingizwa kwenye chama kile hata hawajui wanaingia kufanya nini.Sababu za wanachama wengi wa chadema kuwa na mapungufu ya kiakili ni nyingi pamoja uvutaji bangi, kutafuna mirungi kama Lema, kuramba cocaine...
  6. U

    Vyoo 100 kujengwa barabara kuu ya Mwanza kwenda Dar es salaam kwa ajili ya abiria

    Kweli mkuu ni kitega uchumi mfano KWA Siku wastani ya wasafiri 4000×500:00×siku 365× miaka 10={ jibu }
  7. U

    Naombeni msaada wa haraka!

    KAZI ndigo weka kidole kinasumbua kizamishe kwenye O kikae dakika 2 tu kinapona!
  8. U

    Je, ilikuwaje pale ulipogonganisha wapenzi na wakajuana?

    Acha kabisa hiyo kitu mbaya mno, Mimi nilikuwa hukoo Mkoani Ruvuma Namtumbo, nikambipu mmoja akaja, ile namaliza nafyatua goli la kwanza tu usiku kama SAA 3hivi nikagongewa na JIRANI yangu akiniambia na mwingine ambaye aliandika LTD amefika, nikatetemeka hovyo, yule wa ndani nikamwambia kuna...
  9. U

    Vyoo 100 kujengwa barabara kuu ya Mwanza kwenda Dar es salaam kwa ajili ya abiria

    Ni nzuri sana hiyo, wale wanaokebehi ni wazi kwamba huwa hawasafiri , ni watu wa vijiweni wanasubiri kulishwa.
  10. U

    NETANYAHU's speech on Africans and Arabs

    Nakubaliana na wewe! Haya maneno niliyaona mwaka 2013 mtandaoni. Siyo ya Netanyahu.
  11. U

    Dar:The largest city in the world

    Umezaliwa Burundi nini?
  12. U

    CHADEMA mtaanguka vibaya sana 2020 kama msipobadili aina ya ukosoaji kwa Rais Magufuli

    Shirika FCB linafanya utafiti kuhusu uimara wa vyama upinzani nchini, limeona indicator yenye sura ikionyesha kwamba hadi kufikia mwaka 2025 CHADEMA itatoboka matundu makubwa makubwa kisha kuanza kupukutika kama majani ya karanga. Sababu zinazotajwa ni kukubalika sana kwa rais Magufuli mbele...
Back
Top Bottom