Uwezekano ni mkubwa kuwa yawezekana kulikua na wizi mkubwa ktk uchaguzi ulee. Na inawezekana ni kweli kuwa chadema walishinda uchaguzi huo, kwa vigezo vifwatavyo.
1: kura za magufuri zilikua zaidi ya milioni 8 na kura za wabunge wa ccm zilikua zinashahabiana na kura za mgombea uraisi wa ccm.
2; kura za Lowassa zilikua zaidi ya milioni 6 lkn kura za wabunge wa chadema zilikua chini ya million 3.5.
Sasa cha kujiuliza iliwezekanaje watu wampe lowassa kura nyingi na wawanyime wabunge wa ukawa?
Ukichukua kura za lowassa ukazigawanya kwa wabunge wa ukawa, ilitakiwa ukawa wawe na wabunge zaidi ya 100. Sasa hizo kura zilienda wapi, kwa nani, kwasababu gani. Hapo ndo tunahitimisha kuwa kulikua na jambo ambalo si la kawaida ktk uchaguzi ile, na ndio maana yeyote aliejalibu kukusanya takwimu alikamatwa maramoja tena kwa nguvu kubwa. Je kulikoni? Kama haikua njia ya kupalilia wizi?