Recent content by Uvombile

  1. U

    JamiiForums Tanzania Namungo na Simba ni mechi ya maigizo, Mgunda hajawahi ifunga Simba akiwa na kikosi chochote, tunajua ni tawi kama Tabora na Coastal Union

    Huu nao ni uchonganishi na kutengeneza pressure zisizokuwq na maana yoyote.
  2. U

    JamiiForums Tanzania Kwa namna tunavyofanya Yanga, wacha wanifukuze

    Endelea kupiga kelele Sasa kama zitakusaidia kubeba ubigwa.
  3. U

    JamiiForums Tanzania Kulikuwa na sababu gani Singida Black Stars kuanzisha wachezaji wengi wa kikosi cha pili wakati wachezaji kikosi cha kwanza wapo fit?

    Unataka kumpangia mwajiri matumizi sahihi ya raslimali watu aliowaajiri? Wachezaji wote wanalipwa mshahari Kwa kuvuja jasho na SI kukaa benchi.
  4. U

    JamiiForums Tanzania Wanasimba wenzangu kwa mazingira yaliyoonekana Leo uwanja wa KMC kwa mtu mzima kubebwa dhahiri shahiri tusiwe sana na mategemeo ya ubingwa

    Ubora wa timu ndio unaokufanya ukate tamaa mapema. Umefanya vema kuishusha presha mapema Uwezo wa timu yako ndio unaokukatisha tamaa mapema. Umefanya vema kuishusha presha mapema.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Kwa namna tunavyofanya Yanga, wacha wanifukuze

    Kumbe inawezekana waambie na wengine waige mbinu zao Ili wapate matokeo
  6. U

    JamiiForums Tanzania Kulikuwa na sababu gani Singida Black Stars kuanzisha wachezaji wengi wa kikosi cha pili wakati wachezaji kikosi cha kwanza wapo fit?

    Wachazaji wote waliocheza ni waajiliwa halali wa Singida BS, tusiwapangie nani acheze na yupi asicheze, wakatiwanafanya recruitment walijua ni wakati Gani mchezaji atawafaa.
  7. U

    JamiiForums Tanzania Yanga Tupunguze Maneno, Jana hatujashinda Goli hata moja, kuna cha kujifunza hapa

    Pole sana! Ubora wa timu ndio uliotoa Matokeo chanya, hao unaona ni Bora na kucheza vizuri mbona hawakushinda? Waliostahili Wacha wajipongeze, game plan ya mwalimu usiitafsiri kama kushuka kiwango, wakati rekodi zake zinaonesha uimara wake. Tupe basi rekodi za michezo 5 za hao walioimarika ili...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Hii ndio nafasi ya Medeama kwenye ligi ya kwao, kumbe ni vibonde!

    Akishinda viporo vyake 4 ataongoza ligi.
  9. U

    JamiiForums Tanzania Kwa mwendo huu, Bima ya Afya kwa wote itakwama

    Bima ni mkombozi mkubwa, inatufanya tutafute huduma sahihi wakati wa uhitaji pasipo kujari gharama. Wekeza kwenye BIMA kuponguza gharama na kuwa na uhakika wa matibabu sahihi wakati wa uhitaji
  10. U

    JamiiForums Tanzania Kwa mwendo huu, Bima ya Afya kwa wote itakwama

    Huu nao ni mtazamo. Sehemu nyingine wanaita nadhalia. Tuendelee kutafuta ukweli sahihi.
  11. U

    JamiiForums Tanzania Kwa mwendo huu, Bima ya Afya kwa wote itakwama

    Hapo naweza sema ni suala la uelewa tu mlitofautiana, Kama alikuwa na appointment ya kurudi kwa follow up huwa mwezeshaji hakutakiwa kukuzuia, so si NHIF wenye makosa
  12. U

    JamiiForums Tanzania Kwa mwendo huu, Bima ya Afya kwa wote itakwama

    Kila kitu kina utaratibu wake, ukisoma vizuri maelezo ya vifurushi vya Bima, inakuonesha huduma unazo weza kuzipata kupitia kifurushi ulichochagua, idadi ya vipimo unavyoweza vipata kupitia hkifurushi hicho na vituo vya huduma na wameelekeza kuanzia ngazi ya chini Hadi Hospitali ya Taifa lakini...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Nataka kuwa mwanasiasa

    Kama Hadi muda huu hujajua ni wapi patakifaa, maana yake hufai kuingia kwenye Hilo tamanio, maana yake hujui agenda za vyama vilivyopo nchini. Ni vema ukaendelea kuitumikia nchi kwa taaluma yako, maana Kuna maeneo mengi yanayohitaji utatuzi kupitia taaluma yako
  14. U

    JamiiForums Tanzania Tanzania hakuna chama cha upinzani, tuna wapiga kelele na wakosoaji

    Hizo kelele na ukosoaji ndio upinzani wenyewe na ndio kazi kubwa ya chama Cha upinzani
  15. U

    JamiiForums Tanzania Nashauri safari za mabasi kutembea saa 24 zisitishwe, vifo vitamaliza watu

    Mtu wa kwanza wa kukali usalama barabarani ni abiria mwenyewe, toa taarifa unapoona ukiukaji wa uendeshaji wa vyombo vya usafiri barabarani, hata iwe mchana.
Back
Top Bottom